Promethazine
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 262
- 260
Am a health worker also, wrong perceptions zinadhalilisha sanaAsnte ila roho inaniuma sna mtu anaku judge wrong halaf unapoteza hadhi yako kwa watu waliokuzunguka
Am a health worker also, wrong perceptions zinadhalilisha sanaAsnte ila roho inaniuma sna mtu anaku judge wrong halaf unapoteza hadhi yako kwa watu waliokuzunguka
Sjakuelewa mkuupole sana, next time usikae barazani pa wenye mizaha
Huyo dada na kamueleza jamaa ambae ni mume wake kua nime try kumtongoza jamaa ndo kaleta malalamiko kwa bossMimi sioni point ya kukufanya kuumiza kichwa chako, maana kama mtu umemonyesha ukarimu tu na hukuwa na lengo lingine basi ua not guilt na huna haja ya kuwa guilt......ila kama nafsi yako ilienda mbali zaidi basi umekosea....na je nimejuliza tu huyo jamaa alieleta malalamiko ilikuaje au alijuaje umeanzisha ligi nae je ulikua na mawasiliano na yule dada?
Thnks mkuu kwa ushaur muruaSio lazima watu wakukubali kuwa ww ni muaminifu chamsingi tu wewe uwe ni muaminifu inatosha kabsa, kwenye maisha sio lazima kuelewana ila ni lazima kila mtu kumuelewa mwenazake.
Hahahha mkuu ndo nature ya kazi zetu tumetumia mda mwingi sna kusoma modules za communication skills and how to build good rapport sasa kama si ii apply itakua nimepoteza mda bureBwana weye fanya kazi iliyokuleta habari ya kuonesha ukarimu kwa wake zetu acha.
Hhaa mkuu mbona kiswahil chako kinanipa shida sna kwa kwelKama kweli huja kua na mpango wa kumtafuna(tongoza) we piga kazi kaka,na kama vimate VILIKOREA KWA SINGO [emoji23] basi achana nae,,na ikibidi labda kama sijakuelewa vzr - umesema hapo ofcn kuna ka day work? ukiona vp hebu kaulize na kama hoko ndio kamepeka taarifa nadhani nafsi yake itajisikia vibaya ili iwe kama onyo sikunyingine kajiulize mara 2 kuyatenda hayo.
Sawa mkuu , ila sku hizi naweka sura ya mbuzi yaan sitojulikana wakat nacheka wala kununa maana kucheka cheka na wateja hovyo ishanitokea puaniHakuna kesi hapo, piga kazi kijana.