colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,926
Habari zenu ndugu wa JF, kawaida sipendi kuanzisha nyuzi mara kwa mara humu jukwaani ila ninapoanzisha inakua maji yamefika shingoni.
Niende direct kwenye sababu ilionifanya nikafungua uzi huu.
Nafanya kazi katika sekta ya afya , kuna ki private kimoja ninapiga part time ili maisha yasonge.
Basi kuna mdada alikuja kupata huduma kama kawaida yangu mda wote nakua na smile na kuonesha uchangamfu kwa mteja hali ambayo na kama mteja mwenyewe atakua mcheshi basi tunaweza piga story hapo na kucheka basi mdada tulipiga story sna anapotoka na hadi matatizo yake mawili matatu ya ki personal na kutokana na nature za kazi zetu basi tunakua tunadadisi ili tuweze kujua tumsaidie vipi mteja psychological.
Sasal eo nimeitwa na boss wangu na kuniambia kumekuja malalamiko ya kaka mmoja kasema nimemtongoza mke wake na imemuuma sana hadi kusitisha familia yake isije tena kufata huduma kwetu.
Kwa kweli nimewaza sana na kuvuta kumbukumbu sna nijue ni mwanamke gani huyo bila kupata majibu kila ninapovuta memory naona hamna mwisho nikakumbuka huyo binti kama alikuja nikamchangamkia sana na tukapiga story basi nikamueleza boss kwamba ni jinsi nilivyomuonesha ukarimu na ucheshi umefanya pengine ajishuku ukizingatia hawa ndugu zetu wa kizanzibar /Pemba kutokana na mazingira ambayo wanatokea yaani ukimzoea tu girl hata kama ni friend wako watu wanajua direct unamtaka.
Sasa hapa nina mawazo mengi sana kichwani nahisi kama ni mkosi vile na ninajipangia kua so serious na kubadili tabia niondoe ukarimu wakupitiliza maana unazidi kunicost.
Naomba msaada wa mawazo ndugu yangu au kunitia moyo maana hadi sasa sijielewi kwa stress
Ahsanteni