Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
- hahahahaha now why waste your energy arguing with a Clown? hahahahahahhaa or you are a Clown yourself? I mean it is strange arguing with a Clown if you are not one! hahahahahahahha

Le Mutuz

Where did I argue with you, clown?
Like seriously? You are the one who started quoting me! These three to four posts you call them arguments?
Come ooon, utaumwa kichwa buree!
Niache kugombana na issue zangu nigombane na wewe?
Dont take these exchange of words too personal or too serious utakufwa kabla ya siku zako you know?
Sasa huu ndio unauita ugomvi? Siwezi kugombana na babu yangu mimi.
 
- I am looking at 10 pages so keep going on with super nonsense!! hahahahahahaha

Le Mutuz
 
Ila hekima nazo huna mkuu, hivi kwa nini hukaukwi na maneno wewe? Unapenda kutengeneza story. Maneno yanakutoka mengi mno sio uanaume huo, hizo ni tabia za kike. Jaribu kubadilika le mutuz, fanya vitendo zaidi kuliko maneno. Mtu mzima wewe
 
- hahahaha ona mjinga mwingine huyu wewe unaandika maneno mengi halafu unalalamikia maneno hayo hayo hahahahahaha super mburulazzzz

Le Mutuz
 
Wacha kujisifia eti Radio yako wakati ni David mosha sema Wewe ni mpambe tu umejipendekeza mpaka basi, una hela gani ya kufungua Radio wewe...
Halafu uache tabia ya kukopy na kupaste habari kutoka kwenye blog nyingine.
 
- Super Bilionea Davis Mosha ni my business patner uhusiano wetu ni wa kibiashara, tupo kwenye Capitalism mkuu ukiwa na akili kuba kama yangu unakua na idea unaiuza kwa Wawekezaji Wakubwa kina Davis Mosha and then idea inafanyiwa kazi na sasa hivi Super Bilionea wa Uganda Michael Mukula naye amejiunga na hii idea sijui kama unajua kuwa anamiliki Radio na TV Stations kama 50 Afrika nzima so atatupa power ya kufikia bongo nzima na East Afrika nzima,

- Wabongo amkeni kwenye usingizi mzito wa kuamini kuwa ni mpaka uwe na hela kubwa ndio unaweza kuanzisha miradi mikubwa, matokeo yake wageni kibao wanakuja hapa na ideas tu wanawauzia Wawekezaji wanavuta pesa sisi tumekalia majungu tu yule sio kampuni yake, pole sana mkuu akili ni mali kila mtu ana zake na for sure wewe huna hahahahahaha mkuu ni kweli Pesa nzima ya kununua mitambo ya Radio na TV mimi binafsi sina ila nina AKILI KUBWA ya kuwashawishi wenye pesa kubwa wakawekeza kwenye my idea na ikaishia kunilipa, nilimuuzia Tajiri mmoja hapa mjini idea ya ICD akakubali akawekeza na sasa hivi anavuta pesa kubwa na mimi ninavuta my share, ndio maana ya AKILI KUBWA ambayo wewe hunazzz hahahahahaha U know

HAKIKA WEWE NI KICHAA UNAEJITAMBUA KUWA WW NI MWENDAWAZIMU...mwanaume alie kamilika hawezi kuongea utumbo kama huo dah..haki ya mungu
 
- Again for sure akili yako ni ndogo sana ingekuwa kubwa ungejua kwamba hizo habari chache zinazokuwa copied kwingine ni kwa sababu zinetokea kwenye blog ndogo sana zisizokuwa na heavy traffic kama Blog yangu, lakini as soon habari ile ikifika at my Blog ndio inafahamika, by the way thank you kumbe unanifuatilia sana mpaka kwenye my blog hahahahaha akili ndogo ni lazima kuifuata AKILI KUBWAZZZ huna choice hahahahahaha

Le Mutuz
 
HAKIKA WEWE NI KICHAA UNAEJITAMBUA KUWA WW NI MWENDAWAZIMU...mwanaume alie kamilika hawezi kuongea utumbo kama huo dah..haki ya mungu

- Kuwa na idea ukashawishi wawekezaji wakawekeza unasema ni utumbo, ila kuingia Social Media na kutukana watu usiowajua kwa majina ya bandia ndio una akili sana hahahahahahahahha yaani JF siku hizi inatisha sana hata wewe ni Great Thinker? hahahahahahhaa

Le Mutuz
 
Le super utindio wa ubongoz.. Le super Brain Receives Nothing.

- HAHAHhahahahahha I was waiting for 10 pages, thank U JF kwa kuendelea kunipa haki yangu ya Super Celebrity kila jina langu likitajwa ni over 10 pages ndio maana ya Celebrity, so thank U guys MWanasheria wangu amasema from Jumatatu shughuli yangu ya kulifikisha mahakamani hili gazeti la kiu inaanza rasmi, na kama nilivyosema nilikuwa nasubiri zifikie 10 pages zimefika now I am out of here!! ok hahahahahaha U know

Le Mutuz
 
Huyo Baba haji ni nani?
Michango ya harusi ishakua kero jamani,wengine wanakutafuta uwachangie sherehe ya birthday yake,watu wanachoshaaa bana
Mim mwenyewe siku hiz nakataa kadi zao jibu moja sina pesa anune apasuke atajua mwenyewee
 
- Super Bilionea Davis Mosha ni my business patner uhusiano wetu ni wa kibiashara, tupo kwenye Capitalism mkuu ukiwa na akili kuba kama yangu unakua na idea unaiuza kwa Wawekezaji Wakubwa kina Davis Mosha and then idea inafanyiwa kazi na sasa hivi Super Bilionea wa Uganda Michael Mukula naye amejiunga na hii idea sijui kama unajua kuwa anamiliki Radio na TV Stations kama 50 Afrika nzima so atatupa power ya kufikia bongo nzima na East Afrika nzima,

- Wabongo amkeni kwenye usingizi mzito wa kuamini kuwa ni mpaka uwe na hela kubwa ndio unaweza kuanzisha miradi mikubwa, matokeo yake wageni kibao wanakuja hapa na ideas tu wanawauzia Wawekezaji wanavuta pesa sisi tumekalia majungu tu yule sio kampuni yake, pole sana mkuu akili ni mali kila mtu ana zake na for sure wewe huna hahahahahaha mkuu ni kweli Pesa nzima ya kununua mitambo ya Radio na TV mimi binafsi sina ila nina AKILI KUBWA ya kuwashawishi wenye pesa kubwa wakawekeza kwenye my idea na ikaishia kunilipa, nilimuuzia Tajiri mmoja hapa mjini idea ya ICD akakubali akawekeza na sasa hivi anavuta pesa kubwa na mimi ninavuta my share, ndio maana ya AKILI KUBWA ambayo wewe hunazzz hahahahahaha U know

Le Mutuz

Lemutuz mie sio mtoa hoja mara kwa mara hapa JF lakini nakufahamu vizuri na wewe unanifahamu tatizo lako wewe ni muongo sana unajua kabisa huna mfanyakazi hata mmoja kwa blog lakini unasema unao 5 na ikija kwenye umri wewe ni mtu mzima kuliko hawa wote unao argue nao im 100% sure umesema umeondona TZ ukiwa 17yrs ukakaa nje 30yrs jumla 47yrs umerudi 5yrs ago tukijumlissha ni 52yrs old leo hii! Unakuwa na hoja nzuri tatizo unabishana na watu kwa majigambo sana sidhani mtu mwenye 52yrs of age anatakiwa awe all over the place like you Lemutuz unaweza kufanya kazi zako tukakujua bila kuanza kumsifia sijui Davis Mosha sijui Diamond unampinga Ali Kiba! Mie nataka wewe uwe kama Larry King kama unavyo jiita the King of all social media umeshawaona kina Michuzi wanafanya uyafanyayo???? na ndio waanzilishi! Ebu tafakari baba yangu ungekuwa na 60 ungekuwa baba yangu mzazi, by the way mie shabiki.
 
Ye alioni hilo, ana Pschology Trauma..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom