A
Anonymous
Guest
Barabara ya Arusha - Moshi mwaka jana ilikuwa inafanyiwa ukarabati maeneo ya KIA, King'ori na Kikatiti.
Ukiangalia maeneo yaliyokarabatiwa sio yale yenye mashimo sana na kuna maeneo walikarabati kama mara tatu wanamaliza, barabara inapita then wanabomoa wanaanza tena ukarabati.
Inakuwa ni kero kubwa sana, maana maeneo ya ukarabati ni yale yale huku wanaacha ukarabati wa maeneo yanayonitaji ukatabati kweli kama lile eneo la kuingia Maji ya Chai lenye mashimo mengi na haliguswi hata kidogo.
Majuzi tena wameanza ukarabati wa eneo lililokuwa tayari limekamilika.
Nashindwa kuelewa, huwa Serikali haioni ni upotezaji wa kodi za wananchi kwa kipande kimoja kufanyiwa ukarabati zaidi yamara mbili?