Ukarabati kichekesho Rusahunga - Rusumo

Ikumbukwe kuwa Dodoma wadogo waliahidiwa 112km kwa 112Bn/- kwa ajili ya kupendezesha jiji ili wamchague mgombea wa chama pendwa!
Acha kulia Lia umeleta work in progress tatizo labda hutaki barabara ikarabatiwe kwa sababu ya uchaguzi au sio?
 
Acha kulia Lia umeleta work in progress tatizo labda hutaki barabara ikarabatiwe kwa sababu ya uchaguzi au sio?
Kujaza mashimo udongo ndo kutengeneza barabara?? Mvua ikinyesha kidogo hapo mashimo yanarud Zaid na zaid
 
Acha kulia Lia umeleta work in progress tatizo labda hutaki barabara ikarabatiwe kwa sababu ya uchaguzi au sio?

Kama ulivyojinasibu uwezo wako wa kufikiri umefahamika bwana ka-liquor. Pia vishindo vya awamu ya 5 viko wazi kabisa na kimoja ni hali ya barabara hii.

Wahi buku 7 kazi ya leo inatosha.
 
Yaani maendeleo ya nchi yanapimwa na maendeleo ya DAR ES SALAAM...... KITUKO CHA MWAKA HIKI.
DAR KUKIJENGWA FLY OVER NCHI NZIMA INAAMBIWA IFURAHI KISA FOLENI IMEPUNGUA.... NONSENSE how does it help us tulio huku maporini
Sera ya saccos kuhusu miradi ya kimaendeleo au tuseme barabara inasemaje?? Tuwape kula hasa DJ
 
Sera ya saccos kuhusu miradi ya kimaendeleo au tuseme barabara inasemaje?? Tuwape kula hasa DJ

Utalalama sana ila kwa hali ya barabara hii ilivyo ndiyo maana huwezi kumsikia jiwe akiiongelea. Mbona ma flyover na ma SGR anaongea? Ikifika hii anakuwa bubu?

Kulikuwa na umuhimu gani na airport za Chatto, Msalato au madege kama barabara kuu ziko hivi?
 
Kampni uchwara.
 
Kampeni uchwara
 
Kwa Huko unakosema sera itakayotumika ni kuwekeza kwenye maendeleo ya watu badala ya maendeleo ya vitu, wamegundua walikosea kuwekeza kwenye maendeleo ya vitu.
 
Kwa Huko unakosema sera itakayotumika ni kuwekeza kwenye maendeleo ya watu badala ya maendeleo ya vitu, wamegundua walikosea kuwekeza kwenye maendeleo ya vitu.

Wamegundua lini na kuanza kuwekeza kwenye maendeleo ya vitu? Mbona unataka kuwaonea kwa kuwaondoloea sifa zao waasisi hawa?

Kwani ni siri? Hawasafishiki hata kwa Jiki!

"Tell the rest to the birds!"

Hatudanganyiki.
 
Yaani sasa maendeleo ya watu hamtaki tena? Mnaona mnadanganywa??
Basi turudi tena kwenye maendeleo ya vitu , itajengwa 2020-25.
Tunashukuru kwa kuunga mkono juhudi na maendeleo ya vitu, ndio chachu ya maendeleo
 
Hivi Strabag walitengeneza kipande kipi 2012/15?

Strabag atengeneze wapi padorore hivi?

Alipotengeneza mchina tu bado pako sawa ije kuwa Strabag? Beberu unamjua au unamsikia?

Aliimba Remmy "tembea uone usingoje kuambiwa."
 
Barabara Hiyo Inahitaji Matengezo Ya Haraka Sana
Ukweli Lory Zinazopita Huko Ni Changamoto
 
This is purely foolishness of highest order...ni bora uache tu.
Kuna watu mazezeta sana.
 
This is purely folishness of highest order...ni bora uache tu.
Kuna watu mazezeta sana.

Kwa hakika. Wajinga na wapumbavu ni wengi mno kiasi one cannot help it. Especially those who think they know better, while in fact they display pure foolishness!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…