Dah kifusi kinasawazishwa kwa chepe
Nilikuwa rusumo Jana hakika hii Barabara imeivua serikali nguo zote Hadi chupi.
Kipande kuanzia mizani Hadi nyabugombe ni kifo kwa malori na madereva.
Pia Benaco Hadi kule magereza kuelekea rusumo kinadhihirisha serikali ya uchumi wa Kati..... Mbovu mbovu mbovuuuuuu.
Yaani maendeleo ya nchi yanapimwa na maendeleo ya DAR ES SALAAM...... KITUKO CHA MWAKA HIKI.
DAR KUKIJENGWA FLY OVER NCHI NZIMA INAAMBIWA IFURAHI KISA FOLENI IMEPUNGUA.... NONSENSE how does it help us tulio huku maporini
Yaani maendeleo ya nchi yanapimwa na maendeleo ya DAR ES SALAAM...... KITUKO CHA MWAKA HIKI.
DAR KUKIJENGWA FLY OVER NCHI NZIMA INAAMBIWA IFURAHI KISA FOLENI IMEPUNGUA.... NONSENSE how does it help us tulio huku maporini
Kaahidi 112Bn/- kwa 112km kupendezesha jiji Dodoma. Anapendezesha jiji Dar na daraja la salenda.
Barabara hii kuu 92km katoa 12Bn/- ambazo bila shaka ni hewa. Ahadi ya katibu mkuu wizara ya ujenzi majuzi sasa kazi usiku na mchana.
Usiku na mchana kwa machepe kusambaza udongo tu?
View attachment 1556871
Udongo huu unaosambazwa hivi utadumu muda gani?
Si kuwa ni kupeana ulaji tu na kanaanza hakuna?
Barabara hii iko hivi kwa miaka lukuki sasa:
Hali ya mbaya mno ya barabara Nyakanazi Rusumo vipaumbele vyetu ni nini?
Ziara ya Kagera, Magufuli usiende pekee tu Wasaidizi wako wanakokupangia kwenda
Nyuzi mbili hizi ni za 2017. Kwa hakika hayapo masikio ya kufa kuliko haya.
Hawa kusikia ni kama kenge!
Barabara za nini,wananchi watakula barabara,maendeleo yanayotakiwa na chadema ni maendeleo ya watu na sio vitu.hiyo barabara acha ibaki kama ilivyo,hii ni kwa mujibu wa misimamo ya Chadema.CDM - I wish mngetembelea huku mapema:
Lissu tembelea Rusahunga - Rusumo haraka iwezekanavyo
Cc: chama baba lao.
Barabara za nini,wananchi watakula barabara,maendeleo yanayotakiwa na chadema ni maendeleo ya watu na sio vitu.hiyo barabara acha ibaki kama ilivyo,hii ni kwa mujibu wa misimamo ya Chadema.
Naona siku hizi ZILE RAMLI ZA CORONA UMEACHA KUPIGA.Mabibi na mabwana kipindi cha kampeni ndiyo hiki. Wapo wanaojinasibu na ubora wa miundombinu waliyojenga nchi nzima.
Labda kama ni miundombinu kiini macho!
Hivi karibuni baada ya kelele za kutosha waziri wa wizara husika japo bunge lilishavunjwa aliwahi mbio mbio kabla ya hatari:
Kabla ya Lissu, Waziri wa Ujenzi atembelea barabara ya Rusahunga - Rusumo
Baadaye akafuatiwa na katibu mkuu wa wizara husika. Huyu pamoja na kukiri aibu iliyokuwapo kuhusiana na hali ya barabara hii, aliagiza kazi ya usiku na mchana 12Bn/- zikiwa zimetolewa kwa ajili ya kipande hiki cha 92km.
Kufuatia hatua hizi pichani ni kichekesho cha millenia. Hakuna kazi kazi ya usiku na mchana. Kama kazi hii inahusisha 12Bn/- ambazo zimeshatolewa, labda kama ni upigaji mwingine tu:
View attachment 1556644
View attachment 1556647
View attachment 1556648
View attachment 1556657
View attachment 1556685
View attachment 1556657
View attachment 1556745
View attachment 1556644
Ikumbukwe kuwa Dodoma wadogo waliahidiwa 112km kwa 112Bn/- kwa ajili ya kupendezesha jiji ili wamchague mgombea wa chama pendwa!
Naona siku hizi ZILE RAMLI ZA CORONA UMEACHA KUPIGA.
aisee project ya billion 112 kifusi kinasambazwa kwa chepe 🤣🤣🤣
Hakika ilo Ni changa la macho...