Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Nilishangaaa hiyo bei ya 40000 kwa gunia,nilitaka niingie mkataba kabisa na wewe!Collection debe ndio elfu40 mkuu
Nilishangaaa hiyo bei ya 40000 kwa gunia,nilitaka niingie mkataba kabisa na wewe!Collection debe ndio elfu40 mkuu
Wajasiriamali hiyo ndo tunaiita 'UPANDISHAJI WA THAMANI'Sema mnapiga faida sana,debe 1 la safi kabangaja,Kayenze kubwa/Ndogo haivukagi 15,000.
Kukaanga 2ltr za mafuta,kuni mbili tatu ,kuuza 40,000 faida 15,000 chap.[emoji14] [emoji14] [emoji14]
Na mimi nakuja Igombe kukaanga dagaa.
Hao hawana mchanga?Gunia linaingia debe 17 ambapo debe moja tunauza elfu40 maongezi yapo kama utachukua mzigo mkubwa
Gunia elfu arobaini,ni gunia gani hilo?Elfu 40 mkuu maongezi yapo kama utahitaji mzigo mkubwa
Safi sana, huku mkoani tunawapataje?Hawana mchanga kabisa tunaanika kwenye chanjaView attachment 506659
Nitakutafuta mkuu, vp kuhusu sato nikihitaji waliokaangwa waweza chakarika?Mikoani tunatuma
Tuwasiliane kupitia 0765445388 nanunuaMwanza tupo igombe bei ni elfu40 kwa debe
Mafuta gani mnatumia kukaangia hao dagaa?