Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,033
sasa Mbowe akimchagulia nini mtu mwenye kiapo kama huyo!Bila Mbowe chadema ingekuwa ilishakuwa Kama vyama vingine tu.
Hao wachonganishi hawawezi kumyumbisha mbowe.
Ukizaliwa familia yenye hela huwezi kubabaishwa na vihoja vya kimaskini na kuhama chama Kama hao wengine.
Mashinji mwenyewe ni mtu wa system.
Hakuna mtu ataweza kuipitisha chadema zaidi ya mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
KWANI MWENYEKITI WA CCM ANATOKEA KASKAZINI? LINI CCM MMEFANYA UCHAGUZI NA JIWE AKATOLEWA UENYEKITIMambo yanavyoendelea kimya kimya na lawama toka kambi mbili katika chama kambi ya katibu mkuu toka Kanda ya Ziwa na kambi ya mwenyekiti kutoka kanda ya kaskazini zimekuwa zikitupiana lawama kila moja kwa wakati wake kuwa mwenyekiti amezorotesha chama na kupelekea kwa wabunge na madiwani kuhama.
Wanaendelea kutoa pesa kumlipia gharama zisizo za na lazima dereva wa muhanga wa risasi ili hali anaweza kurudi nyumbani kwa kuwa hakuna tatizo na mambo yamekwisha poa na hatafutwi kwa kuwa jalada lilishafungwa.
Ni lazima uchaguzi ujao mwenyekiti ang'oke.
Kambi ya mwenyekiti nayo imekuwa na shutuma lukuki kuwa katibu mkuu amekuwa baridi hata mikakati yake haipeleki chama mbele chini ya uongozi chama kimeendelea kupoteza majimbo na kata.
Ameshindwa kudhibiti mgawanyiko ndani ya chama na kuwatelekeza wagombea peke yao sasa ni lazima katibu mkuu ateuliwe mwingine na atoke kanda ya kaskazini ambako kuna wafia chama na waliopambana muda mrefu kukiweka chama kilipo!
Chanzo walio karibu na viongozi na wapambe wao!
hahahahaha! you made my day!mpaka sasa bank 4 zimefungwa kwa hasara
Cement bei juu
sukari bei juu
tangu 2015 hadi leo hakuna salary increment
Wadhamini wa ligi kuu wamejitoa biashara hakuna
Trilion 1.5 ya bajeti imefisadiwa kwa mujibu wa report ya CAG
kwa miaka 3 ya Magufuli deni la taifa limepaa kutoka Trillion 28 hadi Trillion 60.
"Watanzania tembeeni vifua mbere kama meza ya kamari we are one the raiti traki"
Kweli mkuu,Fulani kahama chama nk hazifanyi maisha ya mtanzania kuondokana na umasikiniLeteni mipango mikakati ya kufikia kwenye uchumi wa viwanda hizi propaganda uchwara hazina manufaa yoyote kwa wananchi wa kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifafa ni ugonjwa unao kutafunaMambo yanavyoendelea kimya kimya na lawama toka kambi mbili katika chama kambi ya katibu mkuu toka Kanda ya Ziwa na kambi ya mwenyekiti kutoka kanda ya kaskazini zimekuwa zikitupiana lawama kila moja kwa wakati wake kuwa mwenyekiti amezorotesha chama na kupelekea kwa wabunge na madiwani kuhama.
Wanaendelea kutoa pesa kumlipia gharama zisizo za na lazima dereva wa muhanga wa risasi ili hali anaweza kurudi nyumbani kwa kuwa hakuna tatizo na mambo yamekwisha poa na hatafutwi kwa kuwa jalada lilishafungwa.
Ni lazima uchaguzi ujao mwenyekiti ang'oke.
Kambi ya mwenyekiti nayo imekuwa na shutuma lukuki kuwa katibu mkuu amekuwa baridi hata mikakati yake haipeleki chama mbele chini ya uongozi chama kimeendelea kupoteza majimbo na kata.
Ameshindwa kudhibiti mgawanyiko ndani ya chama na kuwatelekeza wagombea peke yao sasa ni lazima katibu mkuu ateuliwe mwingine na atoke kanda ya kaskazini ambako kuna wafia chama na waliopambana muda mrefu kukiweka chama kilipo!
Chanzo walio karibu na viongozi na wapambe wao!
Ccm hawalali kisa mbowe kukataa kununuliwa kama kina lyatongaBila Mbowe chadema ingekuwa ilishakuwa Kama vyama vingine tu.
Hao wachonganishi hawawezi kumyumbisha mbowe.
Ukizaliwa familia yenye hela huwezi kubabaishwa na vihoja vya kimaskini na kuhama chama Kama hao wengine.
Mashinji mwenyewe ni mtu wa system.
Hakuna mtu ataweza kuipitisha chadema zaidi ya mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa lumumba ili uonekane ni shupavu na mwenye busara ni lazima uonyeshe unapambana kumg'oa mboweLeteni mipango mikakati ya kufikia kwenye uchumi wa viwanda hizi propaganda uchwara hazina manufaa yoyote kwa wananchi wa kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau kuwa nyani daima halioni kundule?Kwanini Mbowe anawatesa sana?
Hivi kuna mtu mkanda zaidi ya mwenyekiti wenu?
Haitadumu hata kwa dakika 5 wataitoaMkuu salama? Hebu nifanyie uislamu uiweke hiyo KILIPU Tafadhari.
Na leo mapangashwaa imevuka mipaka ya wakolonimpaka sasa bank 4 zimefungwa kwa hasara
Cement bei juu
sukari bei juu
tangu 2015 hadi leo hakuna salary increment
Wadhamini wa ligi kuu wamejitoa biashara hakuna
Trilion 1.5 ya bajeti imefisadiwa kwa mujibu wa report ya CAG
kwa miaka 3 ya Magufuli deni la taifa limepaa kutoka Trillion 28 hadi Trillion 60.
"Watanzania tembeeni vifua mbere kama meza ya kamari we are one the raiti traki"
Kawaida mchawi haoni soooHiyo style inapaswa kufanyika nchi nzima mpaka waone soo.
Huna akilimod's wamefanya yao jiwe lilirushwa kizani wao wakalidaka na kuelekeza wanako taka wao!
Lazima utakua mkazkaziniMambo yanavyoendelea kimya kimya na lawama toka kambi mbili katika chama kambi ya katibu mkuu toka Kanda ya Ziwa na kambi ya mwenyekiti kutoka kanda ya kaskazini zimekuwa zikitupiana lawama kila moja kwa wakati wake kuwa mwenyekiti amezorotesha chama na kupelekea kwa wabunge na madiwani kuhama.
Wanaendelea kutoa pesa kumlipia gharama zisizo za na lazima dereva wa muhanga wa risasi ili hali anaweza kurudi nyumbani kwa kuwa hakuna tatizo na mambo yamekwisha poa na hatafutwi kwa kuwa jalada lilishafungwa.
Ni lazima uchaguzi ujao mwenyekiti ang'oke.
Kambi ya mwenyekiti nayo imekuwa na shutuma lukuki kuwa katibu mkuu amekuwa baridi hata mikakati yake haipeleki chama mbele chini ya uongozi chama kimeendelea kupoteza majimbo na kata.
Ameshindwa kudhibiti mgawanyiko ndani ya chama na kuwatelekeza wagombea peke yao sasa ni lazima katibu mkuu ateuliwe mwingine na atoke kanda ya kaskazini ambako kuna wafia chama na waliopambana muda mrefu kukiweka chama kilipo!
Chanzo walio karibu na viongozi na wapambe wao!
Elimu sio ishu we uoni wasomi wakubwa baada ya kuvaa nguo za kijani IQ zao wameacha mlangoni.
Basi tuite ni uzwazwaElimu sio ishu we uoni wasomi wakubwa baada ya kuvaa nguo za kijani IQ zao wameacha mlangoni.
Sent using Jamii Forums mobile app