Ukanda bado unakitafuna chama chetu CCM

Sawa Komredi, Rekebisha basi hiyo title yako,naona umeweka CCM badala ya CDM.

Hata hivyo "ubarikiwe" Kwa kuwa "jirani mwema"
Kiapara Mtu-mbavu sana, amajifanya chadema jina la uzi limemuumbua!!
 
Chama kikiwa tegemeo lake ni mtu mmoja, basi hapo hakuna chama, bali ni mali yake. Mbowe ni binadamu jee kesho akifa ama kuugua na kushindwa majukumu. Chama kitakufa?

Tuache ujinga Chadema kuna watu wenye uwezo zaidi ya mbowe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila Mbowe nikweli ni mwizi tukubali tu ukweli mbowe ni mwizi japo naipenda CDM lkn Mbowe ni mwizi kubalini ukweli Mbowe mwizi fedha nyingi sana za ruzuku hazijulikani nini zinafanya wanachadema wenzangu Mbowe mwizi
 
I see !
 
Hiyo style inapaswa kufanyika nchi nzima mpaka waone soo.
Mnataka kurudisha yale yale ya kuzomea wana ccm kinachofuatia ni kuanza kupiga kama ilivyokuwa kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015.
 
Hivi leo mbowe akitangulia mbele ya haki ndio utakuwa mwisho wa chadema tuache mapenzi yaliyopitiliza tujitatafakari wajitafakari wamejikwaa wapi hili ni tatizo kubwa la viongozi kuhama viongozi wajitafakari
 
In the course of time changes something inevitable!!!
 
Tunajua sababu ya chama kupoteza majimbo ni mapanga visual na marungu kutoka kwa wazuia uhalifu.kifo kikiwajilia mkiibe kama mnavyoiba kura.uchumi umeshuka huko ninyi hangaikeni na mbowe tu na mhutu wenu.
 
Mnataka kurudisha yale yale ya kuzomea wana ccm kinachofuatia ni kuanza kupiga kama ilivyokuwa kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015.

Hii itasaidia tabia ya huu wizi na uporaji wa kura kuisha.
 
Mdhibitini mwenyekiti wenu magufuli hata kwa kumchapa makofi kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
 
Asiwe na mapenzi wakati ni chama cha ukoo na familia?
 
Mbowe anawatesa maccm yenu yamewashinda ya kusigina katiba yenu na kuwa chini ya one man mnakimbilia ya chadema mtapata tabu sana
Chama cha baba mkwe, hakiwezi kuisumbua CCM hata kidogo
 
Itasababisha vipigo na madhila zaidi kwa Chadema.

Cdm wanyamaze, wazomee vipigo ni haki yao kwani ndio wenye mvuto kwa wananchi hivyo si ajabu. Ila kumbuka hivyo vipigo vina muda na vinakaribia mwisho kabisa. Hutaamini upepo ukibabadilika utachecha kichina.
 
Mniombee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…