FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Mitume wote walikuwa wafugaji na walikuwa na hekima ya hali ya juu, nnashangazwa na hawa wafugaji wetu.
Kwa ng'ombe walionao wanaweza wakaweka ranches zenye visima vya maji ya kutosha kumwagilia majani wakati wa ukame.
Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.