Ukamanda CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukamanda CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ochu, Apr 23, 2010.

 1. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2010
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  :target:hivi sifa za kuwa kamanda wa umoja wa vijana wa CCM ni zipi? mbona huwa makamanda wanakuwa wengi sana uchaguzi ukikaribia? kwa nini makamanda wote ni watu wenye uwezo wa kifedha? au ndio kutafuta tiket ya ubunge?
  CCM ina mambo.lol
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Ni uamuzi tu mkubwa nahisi pesa si kigezo cha kuwa kamanda ingawa INAWEZEKANA wanatumia pesa kupata nafasi hizo. Na wengine hawataki kugombea kwa kuhisi kuwa HAWANA pesa. Ni mtazamo tu!
   
 3. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #3
  Apr 23, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Uwe na fedha za kutosha mfukoni na pia uwe na jina fulani katika jamii.
   
 4. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  and what about "ukamanda wa chadema" lazima uwe mgalatia (askofu) na utoke kaskazini..
   
 5. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2010
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  CHADEMA kwani wana makamanda?
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  ccm inapenda kujibost na na watu maarufu.
  hata majambazi ni maarufu pia
   
 7. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Angalizo tu mkoa wa Mwanza, Arusha, Mbeya,Mara, Kilimanjaro, Iringa,Tabora, Kigoma, Dar, etc... Most of them stinking like xfff&ssh***t
   
 8. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2010
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kamanda Mareale ahutubia KCMC Moshi
  [​IMG]Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Aggrey Marealle akihutubia wanafunzi ambao ni wanachama wa CCM wakati wa hafla ya kukabidhi kadi za uanachama wa CCM kwa wanafunzi 201 wa tawi la CCM la Chuo Kikuu Kishiriki Cha Tiba cha KCMC.Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo Jumatatu. Picha na mpiga picha wetu.
  [​IMG]Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Aggrey Marealle akihutubia wanafunzi ambao ni wanachama wa CCM wakati wa hafla ya kukabidhi kadi za uanachama wa CCM kwa wanafunzi 201 wa tawi la CCM la Chuo Kikuu Kishiriki Cha Tiba cha KCMC.Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo Jumatatu. Kushoto ni mwenyekiti wa CCM tawi la KCMC, Bw. Mugisha Nkoronko na Katibu wa CCM Wilaya ya Moshi Mjini Yusufu Kombo. Picha na mpiga picha wetu.
   
 9. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2010
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  naona mareale kaiga vazi la chadema katika mashono...tofauti rangi tu...lol
   
 10. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  This sicks!!!
  C.C.M....... where are you taking us?
   
Loading...