Kwanza naomba kudeclare interest mimi Sio mwanachama au muumini wa chama chochote cha siasa.
Kumekuwa na sintofahamu juu ya jaribio la mauaji kwa ndugu yetu Tundu Antipass Lissu. Lakini kuna mambo yanayoleta ukakasi zaidi
1. Serikali kukataa kumtibu lissu kwa Madai kuwa aende muhimbili hali iliyolazimu watu kujichanga fedha kwa akili ya matibabu.
2. Serikali kupiga marufuku ibada za kumuombea Lissu ni jambo lililoshangaza watanzania tumekuwa na utamaduni wa kufanyiana maombi katika mambo mengi iweje hili la kumuombea huyu bwana likatazwe kwa nguvu zote. Ilipotamkwa albadili itasomwa kuna watu walihaha sana.
3. Kukataza kwa nguvu zote t-shirt zilizoandikwa pray for Lissu ile hali mtaani zinavaliwa t-shirt zenye maneno mengi ya kihuni. Kwanini iwe jinai kuvaa zilizoandikwa pray for lissu.
4. Kukamatwa kwa watu walioenda kuchangia damu kisa ni wafuasi wa Chadema ilikuwa ni kwa faida ya nani!?
5. Kukataa kwa nguvu zote vyombo vya uchunguzi vya kimataifa kuwasaka waliommiminia Lissu risasi. Mimi nadhani Serikali kupitia jeshi la polisi ingeendelea na uchunguzi halafu wakaruhusu Chadema nao kuendelea na uchunguzi pia. Lakn hili linawapa hofu watawala