KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,569
- 21,078
Kuna rafiki yangu mmoja mlokole sana, anaishi Temeke, nyumba anayoishi Ina wapangaji wengi, basi siku moja akaingia bafuni, kulikuwa na chupi ya kike imeanikwa inachuruzika Maji, sijui ikawaje, akaidondosha mke wake akaona mume kakaa muda mrefu bafuni akamfuata, akamkuta anafua chupi ya kike, ukawa ugomvi mzito.