Nadhan unamaanisha kaumba mkuuMkuu ivi pale KAYUMBA vipi bado panawika na wateja jinsia zote wapo?
Kweli kabisa sijui hawa wana siasa wanaosema wanataka kuwa kamata na kuwafungulia mashitaka kama ni kweli wana maanisha wanacho kisemaissue ya ukahaba ni janga la dunia na si nchi yetu tu.Binadamu wa leo ni ngumu sana kuwaweka ktk mstari mmoja tumuombe mungu
Haswaaaaaaaaaaaa mkuu ni hapo hapo Itigi n balaa na kitu aibu hakunaHa ha ha naona unazungumzia Itigi hapo Msamvu! Halafu wauzaji ni kuku wa kienyeji kabisa!
Mchana salama kabisa oiiiii iingie satatu nne mpaka Saba! hata wa buku unapata!
Ila wamechoka mno mpaka buku wanatoaPale wapo ila sasa wengi wao wameamua kuwafuata wateja yaani abiria wa mabasi yanayotokea mikoani na nchi za nje kama kampala,bujumbura, malawi,zambia, zimbabwe nk
Hata wenyewe watakimbiaTacaid waweke kambi apo ya kugawaza zana bure,na washauri nasaha wakuwapima wateja na wauzaji wenyewe itasaidia kwani wataona aibu na kukimbia!
Tusiwalaume wakina dada kwani wanunuzi ni Wanaume, kama hakuna wanunuzi wasingejiuzaWanabodi nianze kwa kuwasalimu wote,naomba kuelezea masikiiko yangu makubwa juu ya hali ya ukahaba unaofanyika msamvu karibu a stand kuu eneo la maduka na kwa kina mama nitilie wakati wa usiku,ni hatari sana ukichukulia sheria ya usalama barabarani ya kuzuia mabasi yanayotokea mikoani kulazimishwa kulala pale baada ya saa 4 za usiku,kunakuwa na abiria wengi na wasichana wanajiuza na wanafanya ufusika huu nyuma ya magari au chini ya malori au nyuma ya mabanda bila kificho,na bei zao ni sh 2000/=nimeshuhudia uchafu huu ambao ni njia mojawapo ya kusambaza maambukizi ya virusi vya ukimwi.