Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Wanabodi nianze kwa kuwasalimu wote,

Naomba kuelezea masikiiko yangu makubwa juu ya hali ya ukahaba unaofanyika Msamvu karibu na stand kuu eneo la maduka na kwa kina mama nitilie wakati wa usiku, ni hatari sana ukichukulia sheria ya usalama barabarani ya kuzuia mabasi yanayotokea mikoani kulazimishwa kulala pale baada ya saa 4 za usiku.

Kunakuwa na abiria wengi na wasichana wanajiuza na wanafanya ufusika huu nyuma ya magari au chini ya malori au nyuma ya mabanda bila kificho, na bei zao ni sh 2000.

Nimeshuhudia uchafu huu ambao ni njia mojawapo ya kusambaza maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
 
Ha ha ha naona unazungumzia Itigi hapo Msamvu! Halafu wauzaji ni kuku wa kienyeji kabisa!

Mchana salama kabisa oiiiii iingie satatu nne mpaka Saba! hata wa buku unapata!
 
Wanabodi nianze kwa kuwasalimu wote,naomba kuelezea masikiiko yangu makubwa juu ya hali ya ukahaba unaofanyika msamvu karibu a stand kuu eneo la maduka na kwa kina mama nitilie wakati wa usiku,ni hatari sana ukichukulia sheria ya usalama barabarani ya kuzuia mabasi yanayotokea mikoani kulazimishwa kulala pale baada ya saa 4 za usiku,kunakuwa na abiria wengi na wasichana wanajiuza na wanafanya ufusika huu nyuma ya magari au chini ya malori au nyuma ya mabanda bila kificho,na bei zao ni sh 2000/=nimeshuhudia uchafu huu ambao ni njia mojawapo ya kusambaza maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Tusiwalaume wakina dada kwani wanunuzi ni Wanaume, kama hakuna wanunuzi wasingejiuza
 
Back
Top Bottom