Jaman wana jf nimepita maeneo ya uwindini dodoma mida ya saa 3 uck nimekuta biashara ikiendelea pale madada kwa wakina mama wakijiuza kama ifuatavyo fasta 10000,8000 na mwish6 7000 kulala naye mpatka asubuh 30000 mwisho 25000 na sio wanachuo ni watu wa mitaan just wanatafuta maisha bora. Ikumbukwe pale pale kuna guest ambazo wamepangisha vyumba