Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Ofisa wa taasisi moja nchini akikagua ubora wa bidhaa.........ikumbukwe sidiria za mtumba zilipigwa marufuku!
Rich Pol umeongea kama ofsaa wa serikali mkaguzi,mpaka na maeneo unayajua!Niambie mkuu,upo??Hapo mbona kama ni jirani ya Leaders Club kunako biashara za usiku?
Rich Pol umeongea kama ofsaa wa serikali mkaguzi,mpaka na maeneo unayajua!Niambie mkuu,upo??
Nipo mkuu mpaka maeneo nayafahamu jamaa naona alikuwa anakagua kabla ya kulipia unaweza ukalipia ukifika huko hakuna kitu.
Salama lakini??.
Nipo mkuu,,hahaaaaaa,mi si nikajua utakuwa ndio wewe!