ngorope
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,112
- 243
Na kwenye mfumo wa demokrasia ukishindwa kubali matokeo hapa ccm mnapoteza tu muda kura ya wananchi itawaumbua kwa kuwa kiburi chenu ni wingi wa kuchaguana kwenye bunge la katiba na kuogopa watu wenu wenye nia njema na nchi hii kama warioba na tume yake kutopigia kura matakwa mabarakuli wenu mnang'ang'ania kura ya wazi ili muwatishe lakini jahazi lishaenda mrama tanganyika haiepukiki.:A S thumbs_down: ccm down!CCM, kama baraza la katiba, ilishatoa maoni yake tayari na yakaingizwa kwenye rasimu. Sasa wasubiri wajumbe wa bunge la katiba wayafanyie kazi. Kwanini wanataka kulazimisha mambo ambayo hayamo kwenye rasimu inayojadiliwa bungeni yaingie kwenye rasimu. Suala la serikali 2 halimo kwenye rasimu. Kwanini wanataka kuliingizamo kimabavu? Huoni kwamba wanatishia uhai wa bunge la katiba?