How did Tanzania overcome this disease? Ninasoma hapo wikipedia ati more than 120 ethnic groups and still no tribalism. Is it the Nyerere effect? Just a hypothesis.
Kama kichwa cha habari ni kiswahili basi na
habari yenyewe iwe ya kiswahili,nyie watanzania vipi?
Kiingereza chenyewe hamjui afu kuswanglish kwa kwenda mbele!!
Kama kichwa cha habari ni kiswahili basi na
habari yenyewe iwe ya kiswahili,nyie watanzania vipi?
Kiingereza chenyewe hamjui afu kuswanglish kwa kwenda mbele!!
ni kweli na chuo cha ualimu/nursing hapo hapo wilayan kwako ukimaliza kituo cha kazi hapo hapo lazima ukabila urudi.Tukirudi kwenye mada,mi nahisi hata shule za kata zinarudisha ukabila. Kama umezaliwa mkoa fulani,smsingi hapohapo,secondari kata,hapohapo,ile cross region ya enzi zile unatoka knjaro,formm1 unapelekwa kantalamba sec. n.k(hapa mtakutana watu toka karibu kila mkoa) haipo tena.