swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,253
- 1,475
Kwa asili ya waha wa kigoma hasa wale ambao hawajatoka nje ya kigoma uwezo wa kutathimini usaliti wa zzk ni mdogo na wao wana tabia ya kusema"wachu"hili neno wanalitumia kuonesha umoja.
ACT kigoma itachukua muda kuwaingia vichwani maana si wafuatiliaji wa mambo ila wakisha elewa hawayumbi hivyo kusema eti ACT itanadiwa kigoma kwa kiasi cha kumpa ushindi ZZK 2015 ni ndoto na haiwezekani.
Ukiangalia kigoma ni kundi dogo sana linalomsapoti zzk kwa sasa nalo ni kwa kigezo cha kuwa kabila moja si kupitia ACT hawaitambui na wanachotambua ni chadema tu japo kuwa kabila moja kwao ni zaidi ya chama.
ZZK atawashawishi kwa kigezo cha kuwa"omwana wanyu"yaani mi mtoto wenu msiniangushe.
maneno hayo nimeyapata sehemy moja inaitwa mwandiga ktk jimbo la zzk nilipokuwa nikihoji nafasi ya zzk ktk uchaguzi mkuu ujao,hakuna aliyesema zzk si msaliti la hasha!!wanakubali ila wanasema "Omwana wacu" yaani mtoto wetu.
Watu wa kigoma mnamkumbuka Aman W.Kabour?aliwafanyia nini?
Zindukeni.