UK yataka Tanzania na nchi zinazoendelea zitambue haki za mashoga

...Kuna watu siwataji kwa majina wanajisifia humu ndani jinsi tiGO ilivyo tamu, na hao ni wazungu wamewalazimisha?
Ohoooo, apo Caroline ndo unapokosea. Wataje hao watu basi na tuwajue ni akina nani wanaoshangilia jinsi tiGO ilivyo tamu! Nadhani tatizo zio utamu wa tiGO au la bali ni namna gani hawa "wafadhili" sasa wanaweka masharti flani ambayo ukiangalia vizuri hayana tija kwa maendeleo ya nchi. Nakubaliana nawe kwamba ni jukumu letu kuleta maendeleo na sio kukubali kuwa watumwa wa "misaada"!
 
Mkuu hawa wanapumuliana lakini athari yake ni kubwa kwa jamii yetu hii. Hawa jamaa (wazungu) ni wajanja sana, wana ajenda yao ya kupunguza population ya dunia especially ya waafrika.

Sasa kwa vile wamegundua sie twapenda sana ngono na ni wepesi kuiga tamaduni ngeni wanataka kupitia huko. Amini usiamini hii issue imekaa kimaslahi yao.

Pale tutakapoaanza kuangamia kutokana na Ukimwi wao wataweza kuchukua resources zetu na kuenjoy. These guys are the so called "ELITES"

...hizi conspiracy za miafrica zinaonyesha jinsi mlivyo wajinga,yaani mna create something from nowhere just to justify your ignorance, mkibaguliwa kwa ajiri ya color zenu mnalia kuliko hao mashoga.

Anyway i dont care gay or non gay hizo ni business za watu wengine walioamua kupendana na ninaamini its very natural na wala hawafanyi hivyo to please anybody(thats the way they are).

Waacheni wapendane na waishi maisha yao bila kuingiliwa na msituletee story za laana za Mungu au kachumbari maana sio kila mtu anaamini garbage zenu kutoka vitabu vyenu AKA vitakatifu.
 
Wazungu hao !!

Kwanza ' wamewapa' uhuru ,

Pili wamewaacha waafrika bila sauti yoyote ya kisiasa katika masuala yao mabali mabali - yote yanamuliawa na Marekani + Uingereza+ Ufaransa.

Tatu Uchumi wetu wote unawategemea wao na fadhila zao ! ambazo ni kinyume wao ndio wanafaidika zaidi . Tajiri nafaidika zaidi kutoka maskini.

Nne Sasa hata utamaduni na mila zetu zinashambuliwa- Ushoga ni katika haki za binaadamu kwa wazungu ambayo siyo maadili ya kiafrika. Wazungu siyo tu wanataka serikali za kiafrika ziondoe sheria dhidhi ya ushoga bali mashoga waende hadharani waone wanachofanya ni kitu cha kujivunia na kuwshawishi wengi wajiunge !

Tunalegezwa nati polepole.
 
...tunalegezwa nati polepole.
Hizo nati zishalegea kabisaa. Kwa hivi sasa tayari tunatawaliwa kiakili na kiuchumi. "Uhuru" tumeshaupoteza. Tusubiri tuanze kuona maraisi mashoga (muda si mrefu ujao). Iyo ndio iliyobaki!!!
 
Hawa wazungu wanalazimisha kitu ambacho tumekikaribisha tayari, wao wanachofanya ni nyiie mkiendeleze. Hivi ushonga maana yake nini? kama baba mtu mzima anaweza kumbaka mtoto wa kiume kinyume cha maumbile, anakamatwa then anaachiliwa tueleweje? Majumbani mwetu wanawake wanaadhirika sana, mwanaume analazimisha kumfanya mkewe kinyume na maumbile hayo yote tuyaweke kwenye kundi gani?

Mfano mdogo sana, mlegezo ulitoka wapi? Mzungu gani alitushikia AK 47 watoto wetu wa kiume wavae mlegezo? Jamani ebu tuwe waelewa kidogo, hii tabia ya sodoma na gomora na vitendo viovu na kiuhuni vinavyoendelea kwenye familia zetu ni wazungu?

Copy and Paste.Wazungu siwalaumu kabisa, upumbavu na ujinga uko kwetu sisi. Kuna watu siwataji kwa majina wanajisifia humu ndani jinsi tiGO ilivyo tamu, na hao ni wazungu wamewalazimisha?

Ebu tuombe Mungu atusamehe hii dhambi mbaya sana.
mkuu nimefurahi kuona umeliweka wazi sana,sisi tunamatatizo yetu lakini tujue kuwa wao{ wazungu} wanacheza na sisi mchezo wa kiakili sana,hawawezi kutushikia ak47 kama zamani lakini sahivi njia ni kama mwanzilisha mada alivyosema.mimi binafsi naona sisi tunatakiwa kulaumiwa kwa 50% na wao 50%.


mzungu kutupa africa uhuru sio mpumbavu,alishapanga njia nyingine.
 
Mimi sioni shida. Kama mtu kesha amua kuwa anataka tigo, nafikiri tushachelewa kumwambia kuwa voda ina raha zaidi. Cha muhimu ni kumuachia na tigo yake maana mimi inanipa namba za voda nyingi zaidi.

Hi article nafikiri inasema kuwa wapenda tigo wasionewe. Mi sina shida na mpenda tigo. Yeye hizo ni shida zake, wala mie hazinihusu.

Anachofanya chumbani sitaki kujua maana sitaki ajue nachofanya mie chumbani mwangu ni nini. Nafikiri hiyo misaada inaelekezewa kwa hizo nchi zinazotaka kuwaonea wapenda tigo.
 
Tatizo kubwa ni pale watu hawa (mashoga) wanapoeneza tabia yao hadharani katika kutafuta wafuasi wa kuendeleza tabia yao chafu. Hapa umma ina haki ya kupinga kwa sababu wanaweka mazingira ambayo yanaipa wakati mugumu wa kulea watoto wanaozaliwa hawajui baya na zuri.

Haya ni mambo ya shetani ambaye kama mvua samaki kwa ndoano anatumia chambo cha kumdanganya na kudumaza binadamu akaiga lolote lile baya kwa sababu yeye anaona na kufuata utamu wa chambo huku nyuma ya pasia haoni litakalomkuta.

Anafikiri amepata chakula bila jasho. Anakuja kutahamaki wakati ndoano iko mdomoni anavutwa nje ya maji, masikini amechelewa.

Tusali sana kila mtu kwa dini yake. Chambo cha shetani ni kumpa mtu matumaini ya kupata raha na mahitaji mengine kwa njia ya mkato bila jasho. Kuna mabaya ambayo imeonekana ngumu kukomesha lakini kile kitendo cha kuyalaani imekuwa 'regulator' ya kupunguza makali. Angalia mifano hii;

# MWIZI Leo masikini kesho tajiri bila jasho. Pamoja na kuzuiwa wizi upo, je ungeruhusiwa ingekuwaje?

# MZINZI Anazini na mke au binti wa mtu anafurahi bila shida ya subira upate wake. Unazuiwa bado upo, je ungeruhusiwa ingekuwaje?

# MVIVU Anafurahi wakati wenzao wanalima na kuishi omba omba bila jasho. Je kama jamii ingeona kuwa hii ni sawa nani angelisha nani?

USHOGA Kutokana na utandawazi ni ngumu kukomesha ushoga lakini tukiukemea tutapunguza makali yake. Inasemekana ushoga umekuwapo dunia nzima tofauti haukukubalika wazi (uliendelea kisiri) na hata waliosimuliwa ilbaki simulizi bila kuaminika.

Lakini ulipokubalika wazi na kuondoa usiri nchi za ulaya sasa ushoga umeingia kama mchwa. Viongozi wa dini wafungisha ndoa hizi na serikali zimeanza kufikiria kuondoa dhana ya jinsia (mfano badala ya baba na mama badala yake iwe mzazi wa kwanza na mzazi wa pili).

USHOGA ULAANIWE ni dhambi.
 
Jamani............ Hivi tukivunja uhusiano na wazungu tutakufa nchi nzima?
Tuwafukuze kwenye madini na sehemu zote nyeti......
Wacha tufe kwa kukosa dawa na chakula, lakini baadhi watapona na kuokoa kizazi kijacho.
Phuck wazungu na mama zao.
Siwapendi kabisaaaa
thumbs up my brother. 100% nakuunga mkono. lini na wapi mzungu ashawahi kutoa msaada wa bure? jamani tufunguke tuone ukweli wa mambo. mzungu akikupa kitu basi ujue tayari kaona almasi imejificha pahali
 
Hili jambo si tu kwamba halikubaliki, lakini pia halijadiliki kabisa. Nyerere angekuwepo angemwambia Cameron aondoke na fedha zake, sijui kikwete wetu atapata wapi ujasiri huo. Mungu atuepushie na balaa hili watanzania - Madhara ya serikali lege lege ni makubwa sana. Wanaweza wakalinyamazia ovu kama hili. God forbid.
 
Basi twende mbali zaidi, tuanze vita pia ya kupinga ushoga ambao unaenezwa na waafrika wenyewe. Kumbuka upuuzi huu unafanyiwa hapa hapa kwetu kwa muda mrefu. Tufanye utafiti wa chimbuko la ushoga, na namna ya kudhibiti kuiga tabia hii chafu.

Kuna habari eti wapo wanaozaliwa hivyo, naofia kuwa hiki ni kisingizio, kwani kama ni kuzaliwa hivyo, hiyo ni rare case kiasi kwamba tatizo lisingekuwa kubwa hivyo.
Hatuyataki mashoga huku africa..huo upuuzi wao wa sodoma na gomola wafanyiane huko huko.
 
Basi twende mbali zaidi, tuanze vita pia ya kupinga ushoga ambao unaenezwa na waafrika wenyewe...
Hapa naona unachanganya mvinyo. Tatizo haswa ni hiyo tabia ya kuwaonya waafrica kwamba kama wakitaka misaada basi ni lazima wakubali masharti yeyote toka kwa "wafadhili" au la sivyo watokomee.

Sasa inabidi kujiuliza, wanasema tukubali ushoga kitakachofuata kitakua ni nini? Huko mbeleni wanaweza kusema kama raisi wenu sio shoga basi hatuwapeni "misaada". Hapo ndo itatubidi tumchague Anti Asu awe mkuu wa nchi, ili tupewe hiyo "misaada". Upo hapo!
 
OMG!!!!! Tanzania ye2 ya leo cdhan kama itaweza pnga. Too bad kwa kzaz che2 cha shule, cjui ktawaza nin kesho... Rais wa nch ye2 tajr wa mal, maskn wa ucmamiz, anadirk kutamka mbele ya bunge "tukufu" (sielewi maana yake ktk utendaj wake) kwamba "uktaka kulaaa.. Shart uliweee....

Hivi hatuoni ya kwamba anaelilia haki hyo ni yule ambae haki ya elimu, maji saf na salama, kazi, na nyingnezo nying ameshapataaa???
Kwel viongoz Afrka wamejshndwa. tuspokuwa makn ipo cku wata2lazmish baba kumlala mwanae na mama kulalwa na mwanae ili wa2pe msaada.
KAMWE HAKUNA AMDHARAUYE MTU BAL YEYE MWENYEWE. HESHMA YA MTU IPO ANAPOJHESHMU.

Africa tusimame kutetea bara letu kwan hakuna aliepanga kuwa alpo ila kazaliwa hapo hvo hana budi kuyatumia mazngra yake kwa maendeleo yake na vzaz vjavyo
 
Sijachanganya, ni hivi mkuu: Hilo unalisema ninalielewa vizuri sana ndo maana nikasema, Basi twende mbali zaidi tuanze pia vita ya ndani. Ndio sababu ya kutumia neno "pia"Maana hiyo Quote yangu inaonyesha jamaa anakataa mashoga /Influency ya ushoga kutoka nje, ni vizuri lakini pia tuangalie yale yanayotokana na sisi pia ili to "weed out" huu uchafu, upo ASKARI WANGU?
Hapa naona unachanganya mvinyo. Tatizo haswa ni hiyo tabia ya kuwaonya waafrica kwamba kama wakitaka misaada basi ni lazima wakubali masharti yeyote toka kwa "wafadhili" au la sivyo watokomee. Sasa inabidi kujiuliza, wanasema tukubali ushoga kitakachofuata kitakua ni nini? Huko mbeleni wanaweza kusema kama raisi wenu sio shoga basi hatuwapeni "misaada". Hapo ndo itatubidi tumchague Anti Asu awe mkuu wa nchi, ili tupewe hiyo "misaada". Upo hapo!
 
Back
Top Bottom