UK yataka Tanzania na nchi zinazoendelea zitambue haki za mashoga

Sidhani kama mungu ataibariki tanzania au africa, sana sana ataipiga laana. Kinachofuatia sasa ni wafadhili kulazimisha serikali za kiafrica lazima ziwe na mawaziri mashoga kabla hawajapata misaada. Huko ndo tunakoelekea, trust me!

mkuu mambo yanapoenda tunajuwa wenyewe.maana ulaya mwanaume kuoa wanawake wengi ni tatizo lkn gays ni haki! dunia hii inaelekea sehemu mbaya kweli.lkn maneno yako ya kweli.
 
toka lini mzungu akatoa msaada bure????? Hata mkopo hatoi bure .
Angalimpa mzungu mwenzake mgiriki , kwani mpaka leo anawekewa grade ambazo hazifikii ili wapate kumnyonya na wakati huo huo wanampangia vipi namna kutumia mkopo
 
toka lini mzungu akatoa msaada bure????? Hata mkopo hatoi bure .
Angalimpa mzungu mwenzake mgiriki , kwani mpaka leo anawekewa grade ambazo hazifikii ili wapate kumnyonya na wakati huo huo wanampangia vipi namna kutumia mkopo
Swala hilo vingozi wetu wanalijua lakini wamelifumbia macho!
 
Ndio matatizo ya kutegemea misaada ,hata kwenye nyumba/kaya/familia kama baba mwenye nyumba unategemea misaada kutoka kwa marafiki au ndugu zako kuendesha familia yako kuna siku utaambiwa nipe mke wako au binti wako au muache mke wako kama hujafanya hivyo sitakupa msaada.

Huo ndio utumwa wa kutegemea mtu mwingine kukuendeshea maisha, kwa hilo viongozi wetu wawe na ujasiri wa kusema tuko tayari KULA NYASI KULIKO KUUKARIBISHA USHOGA. Mbona hawawatishi China ambako sio ushoga tu hata fisadi anatundikwa kitanzi na kuna kuwa hakuna kitisho chochote
 
Kutegemea misaada kunatuponza.
Wawachukue mashoga wote wawape uraia nchini mwao kama kweli wanapenzi na hao walaaniwa.
 
Ndio matatizo ya kutegemea misaada ,hata kwenye nyumba/kaya/familia kama baba mwenye nyumba unategemea misaada kutoka kwa marafiki au ndugu zako kuendesha familia yako kuna siku utaambiwa nipe mke wako au binti wako au muache mke wako kama hujafanya hivyo sitakupa msaada.

Huo ndio utumwa wa kutegemea mtu mwingine kukuendeshea maisha,kwa hilo viongozi wetu wawe na ujasiri wa kusema tuko tayari KULA NYASI KULIKO KUUKARIBISHA USHOGA.

Mbona hawawatishi China ambako sio ushoga tu hata fisadi anatundikwa kitanzi na kuna kuwa hakuna kitisho chochote
Apo umesema, lakini viongozi wetu tayari wameshanyong'onyea/legezwa.

Nadhani wakiambiwa ni lazima wawe mashoga kwanza ili wapewe misaada watafanya hivyo bila kupinga, au kuchelewa!
 
Unajua kunakiongozi wetu mmoja wa Taifa moja wapo la Afrika ktk kikao kilichopita UN alisikika akiimiza mataifa makubwa(likiwemo Uingereza) kiuchumi, kutimiza ahadi zao za kutoa misaada. Sasa kwa onyo hili, atabadili msimamo au ataendelea kuwahimiza hata kama watataka awapelekee mioyo(mmojawapo ya viungo vya ndani vya binadamu) ya Vijana rijari/lijari/rijali ?

Ushauri wangu kwa Waafrika na nchi nyingine zitegemeazo misaada ya "WAKUBWA"

WAAFRIKA TUSIKUBALI TAMADUNI ZA KIGENI ZINAZOTAKA TUWE " WAHUDUMU" WA SHETANI.
 
MIAFRIKA BWANA NDIVYO ILIVYO kila siku tunategemea Misaada mpaka lini? Misaada kila wakati matokeo yake ndio hayo hapo Wazungu wanataka tusipinge mambo ya Ushoga na Ugaji kama wao walivyo na wanavyofanya Ehhh? tukiiga Utamaduni wao kizungu wakuu tutangamia jamani. leo watasema

turuhusu mambo ay Ushoga kesho wazungu watasema turuhusu Mbwa amuowe Mwanamke keshokutwa Wazungu watasema jingine basi kila kukicha Watakuwa hawa Mashetani wa kizungu wana tupangia jambo jipya jamani tukome na Misaada yenye Masharti .
 
Waacheni watu na raga zao ,,,,si wanapumuliana wenyewe? Waacheni wapumuliane sisi tuongezewe mamisaada

Mkuu hawa wanapumuliana lakini athari yake ni kubwa kwa jamii yetu hii. Hawa jamaa (wazungu) ni wajanja sana, wana ajenda yao ya kupunguza population ya dunia especially ya waafrika.

Sasa kwa vile wamegundua sie twapenda sana ngono na ni wepesi kuiga tamaduni ngeni wanataka kupitia huko. Amini usiamini hii issue imekaa kimaslahi yao, pale tutakapoaanza kuangamia kutokana na Ukimwi wao wataweza kuchukua resources zetu na kuenjoy.

These guys are the so called "ELITES"
 
Mkuu hawa wanapumuliana lakini athari yake ni kubwa kwa jamii yetu hii. Hawa jamaa (wazungu) ni wajanja sana, wana ajenda yao ya kupunguza population ya dunia especially ya waafrika. Sasa kwa vile wamegundua sie twapenda sana ngono na ni wepesi kuiga tamaduni ngeni wanataka kupitia huko. Amini usiamini hii issue imekaa kimaslahi yao, pale tutakapoaanza kuangamia kutokana na Ukimwi wao wataweza kuchukua resources zetu na kuenjoy. These guys are the so called "ELITES"

Fikiria asilimia kubwa ya vijana wetu ambao ni nguvukazi ya taifa watapokuwa mashoga, na wajua mashoga wanajilegeza sana, hawatakubali kufanya manual work yoyote! nguvu kazi ya taifa itapotea. tutazidi kutegemea hiyo misaada yao na wao kututawala. Bora tujikomboe. Waafrika wa sasa inatubidi kuwa makini sana na hawa watu, ni WANAFIKI sana.
 
MIAFRIKA BWANA NDIVYO ILIVYO kila siku tunategemea Misaada mpaka lini? Misaada kila wakati matokeo yake ndio hayo hapo Wazungu wanataka tusipinge mambo ya Ushoga na Ugaji kama wao walivyo na wanavyofanya Ehhh? tukiiga Utamaduni wao kizungu wakuu tutangamia jamani. leo watasema

turuhusu mambo ay Ushoga kesho wazungu watasema turuhusu Mbwa amuowe Mwanamke keshokutwa Wazungu watasema jingine basi kila kukicha Watakuwa hawa Mashetani wa kizungu wana tupangia jambo jipya jamani tukome na Misaada yenye Masharti .

Kabisa mkuu, nakubaliana na wewe. Ni nani anawapa hiyo mamlaka ya kulazimisha watu wafuate mfumo wao wa maisha. Kila jamii ina utamaduni wake na ilna uhuru wa kuukumbatia. Hawa jamaa wana ajenda yao ambayo sisi wa africa yatubidi tuwe makini sana.
 
Leo hii wamehalalisha ushoga, kesho na keshokutwa watahalalisha dada na kaka kufanya mapenzi(incest), baada ya hapo watahalalisha mtu kutembea uchi wa mnyama barabarani, then watahalalisha watu kufanya mapenzi openly kabisa mabarabarani, kisha watahalalisha mtu kufanya mapenzi na mnyama kama vile mbwa.

Sexual Immorality ni miongoni mwa sababu zilizopelekea Gharika wakati wa Nuhu, tuwe makini! Tatizo letu ni kwamba tunataka tuishi maisha ya mahighscrappers kama ulaya, fast trains, ipod n.k. Sisi tukiweza kujitosheleza kwa chakula tu kwanza ni hatua moja kubwa sana ya kujitegemea.

Hata tukiishi katika nyumba za udongo zilizopangiliwa vizuri ni bora! KIZAZI CHETU NI KIZAZI KUPIGANA KUFA NA KUPONA CHA KUHAKIKISHA BLACK RACE INASURVIVE MIAKA 1000 IJAYO IKIWA INTACT, KUMBUKA DUNIANI BLACK RACE NDIYO RACE YENYE WATU WACHACHE KULIKO RACES NYINGINE.

SASA TUSIPOKUWA MAKINI, UKIMWI UTATUMALIZA, UKICHANGANYA NA HIZI TABIA ZA KUHALALISHA USHOGA NDIYO KABISA MIDUME ITAGEUKA MDEBWEDO.

MIMI NAWASHAURI PIA WALE WENYE KIZAZI CHA KUTOSHA, ZAENI!, ZAENI!, ZAENI!, AFRICA NZIMA INA WATU WACHACHE ZAIDI KULIKO NCHI MOJA YA CHINA MBONA WAO WANAISHI? NA SISI TUTAISHI TU!
 
Yaani kuna watu wamefika mahala wakaamini kuwa misaada yao ni uhai wetu. Jamani turudi kwenye saiasa za kujitegemea halafu huko tutafika. Kwa njia ya misaada wanadhibiti uchumi wetu ndiyo maana ahtupandi. Tujaribu siasa za kujitegemea na ujamaa kati ya nchi zinazofanana tuone kama hatupai hata kuwazidi. Ebu tujaribu.
 
Leo hii wamehalalisha ushoga, kesho na keshokutwa watahalalisha dada na kaka kufanya mapenzi(incest), baada ya hapo watahalalisha mtu kutembea uchi wa mnyama barabarani, then watahalalisha watu kufanya mapenzi openly kabisa mabarabarani, kisha watahalalisha mtu kufanya mapenzi na mnyama kama vile mbwa.

Sexual Immorality ni miongoni mwa sababu zilizopelekea Gharika wakati wa Nuhu, tuwe makini. Tatizo letu ni kwamba tunataka tuishi maisha ya mahighscrappers kama ulaya, fast trains, ipod n.k!, sisi tukiweza kujitosheleza kwa chakula tu kwanza ni hatua moja kubwa sana ya kujitegemea!, hata tukiishi katika nyumba za udongo zilizopangiliwa vizuri ni bora!

KIZAZI CHETU NI KIZAZI KUPIGANA KUFA NA KUPONA CHA KUHAKIKISHA BLACK RACE INASURVIVE MIAKA 1000 IJAYO IKIWA INTACT, KUMBUKA DUNIANI BLACK RACE NDIYO RACE YENYE WATU WACHACHE KULIKO RACES NYINGINE, SASA TUSIPOKUWA MAKINI, UKIMWI UTATUMALIZA, UKICHANGANYA NA HIZI TABIA ZA KUHALALISHA USHOGA NDIYO KABISA MIDUME ITAGEUKA MDEBWEDO.

MIMI NAWASHAURI PIA WALE WENYE KIZAZI CHA KUTOSHA, ZAENI!, ZAENI!, ZAENI!, AFRICA NZIMA INA WATU WACHACHE ZAIDI KULIKO NCHI MOJA YA CHINA MBONA WAO WANAISHI, NA SISI TUTAISHI TU!

Sasa wanaona idadi ya watu wao inazidi kupungua wanatuletea biashara za mashoga hapa kwetu, kizazi chetu kife, watuibei mali zetu? Hiyo misaada nani anaiona?
 
Hawa wazungu wanalazimisha kitu ambacho tumekikaribisha tayari, wao wanachofanya ni nyiie mkiendeleze. Hivi ushonga maana yake nini? kama baba mtu mzima anaweza kumbaka mtoto wa kiume kinyume cha maumbile, anakamatwa then anaachiliwa tueleweje? Majumbani mwetu wanawake wanaadhirika sana, mwanaume analazimisha kumfanya mkewe kinyume na maumbile hayo yote tuyaweke kwenye kundi gani?

Mfano mdogo sana, mlegezo ulitoka wapi? Mzungu gani alitushikia AK 47 watoto wetu wa kiume wavae mlegezo? Jamani ebu tuwe waelewa kidogo, hii tabia ya sodoma na gomora na vitendo viovu na kiuhuni vinavyoendelea kwenye familia zetu ni wazungu?

Copy and Paste. Wazungu siwalaumu kabisa, upumbavu na ujinga uko kwetu sisi. Kuna watu siwataji kwa majina wanajisifia humu ndani jinsi tiGO ilivyo tamu, na hao ni wazungu wamewalazimisha?

Ebu tuombe Mungu atusamehe hii dhambi mbaya sana.
 
Back
Top Bottom