UK yaendeleza ukoloni Jumuiya ya madola?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,896
10_11_0hyweq.jpg


Malkia Elizabeth II wa Uingereza na mumewe, Philip wakiwakaribisha Rais Jakaya Kikwete,
Mama Salma Kikwete na Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola
katika dhifa aliyoiandaa kwa ajili ya viongozi hao mjini Perth, Australia.



Ni zipi sababu za msingi kwa nchi zilizokuwa koloni la Mwingereza kuendelea kuhemekea dola ya kifalme ya Uingereza? Ni faida gani nchi hizi zinanufaika kiuchumi na kisiasa zaidi ya kuivimbisha kichwa Uingireza na mfumo wao wa kihierarikia? Kwa nini Uingereza inaendelea kuzing'ang'ania nchi zilizokuwa makoloni yake wakati haitoi misaada ya kimaendeleo na kiuchumi?
 
Tutaishia kukaribishwa tuu lakin kuandaa kuwakaribisha wao kwetu milele haitakuwepo.
 
Nani anasema ukoloni ulikwisha ? Hasa waafrika tunaonewa sana na hawa wazungu.
 
Back
Top Bottom