UK wachagua mkuu wa ujasusi Mwanamke

UK wachagua mkuu wa ujasusi Mwanamke

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
5,611
Reaction score
10,173
Shirika la kijasusi la Uingereza, maarufu MI6 litaongozwa na mwanamke kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka mia moja 16 ya uhai wake.

Blaise Metreweli, aliyejiunga shirika hilo mwaka 1999, atakuwa mkuu wa 18 akichukua nafasi ya Sir Richard Moore baadaye mwaka huu.

Kwa sasa anahusika na teknolojia na uvumbuzi ndani ni ya shirika hilo na amesema anaona fahari na heshima kubwa kwa kupata nafasi hiyo ya uongozi, Huku Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer ameuita uteuzi huo kuwa wa kihistoria.

MI6 ina jukumu la kupata taarifa kimataifa na kuimarisha usalama wa Uingereza, kuzuia ugaidi, na kuimarisha usalama wa mtandaoni.

Mkuu wake ambaye hutambulika kwa herufi ‘C’, ndiye mtu pekee anayefahamika kwa jina mbele ya umma.
 
Huku kwetu kuna wafipa na wafyomi watasema mwanamke hafai…. Yet wako proud na mama zao
 
Marakani Yule dada walimtumbua Juzi kati baada ya ule udukuaji wa specified information 🐼
 
tunamalizia kugeuza Israel kuwa majivu, tunahamia UK
 
Back
Top Bottom