Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 24,717
- 44,108
Mwirani wa magwepande katika ubora wakoWenzawao wameenda kutalii na kurudi, Pompeo ameshawaonya Uk kuwa kwa sasa Us haitaki vita na Iran, amewambia wawe makini na mameli yao
Watalizamisha hilo, jamaa wasipokuwa makini.. inavyo onekana mu Iran hana utani, ila hao wengine wanatishia nyau
Hawa wazungu wanaakili sana! Wanamtumia muIran kwenye vitisho wakijua wazi vita baina yao ni ngumu Lengo ni kuzikalia nchi za wapuuzi Waarabu kwa Cost zao wenyewe! UK ni mtoto sana kwa Iran kwani hana Manpower wala Asset za kumfanya Iran apoteze usingizi zaidi wasishangae hizo Submarine yao ikazamishwa na hao commandos wao wakatekwa km walivotekekwa US marines au makomandoo wa US
yaani iran anampiga UK,,Hawa wazungu wanaakili sana! Wanamtumia muIran kwenye vitisho wakijua wazi vita baina yao ni ngumu Lengo ni kuzikalia nchi za wapuuzi Waarabu kwa Cost zao wenyewe! UK ni mtoto sana kwa Iran kwani hana Manpower wala Asset za kumfanya Iran apoteze usingizi zaidi wasishangae hizo Submarine yao ikazamishwa na hao commandos wao wakatekwa km walivotekekwa US marines au makomandoo wa US
Ficha aibu yako, story hizi kapigie kwenye vijiwe vya kahawa vya MwembechaiHawa wazungu wanaakili sana! Wanamtumia muIran kwenye vitisho wakijua wazi vita baina yao ni ngumu Lengo ni kuzikalia nchi za wapuuzi Waarabu kwa Cost zao wenyewe! UK ni mtoto sana kwa Iran kwani hana Manpower wala Asset za kumfanya Iran apoteze usingizi zaidi wasishangae hizo Submarine yao ikazamishwa na hao commandos wao wakatekwa km walivotekekwa US marines au makomandoo wa US
UK mda mwingine hanaga utani anaweza akarusha ngumi kweli hawa jamaa siyo kama America
Japo iran naye siyo wa kimchezo mchezo ila ngoja tuone
Mimi nataman sana vita lika langu hili sijashudia vita kabisa, lakin british mimi nakukubali mzee wa kushawishi
Iran piga konde mwanangu ioneshe dunia kuwa wewe siyo mwarabu na hujalibiwa
British piga huyo ayatollah
Ayatollah set mitambo mpaka malikia aombe poo
Kuendana na uwezo wa hiyo Submarine pamoja na Mission wanayoenda kuifanya si lazima waingie kabisa Persian Gulf maana kwa Capabilities za hiyo Sub katika Electronic Warfare hiyo kazi yaweza kufanyika hata nje ya Gulf na ikawa Effectively.kwahiyo ni swala tu la kuisogeza karibu na ghuba, ili kazi ianze. Unless Otherwise!ni nuclear powered sio nuclear capable,hata hivyo UK hana fleet ya kutisha,tegemeo lao kubwa ni HMS Duncan ambayo ndo inatarajiwa kuingia persian gulf,hata hivyo iran wameshadeploy manowari zao ghuba kwahiyo sio ishu kivile,hiyo submarine ni kubwa haiwezi ingia gulf hakuna kina kirefu cha kuificha hiyo sub
Ndo vizur sasa mkuu ili tuheshimianeVita inaweza kukuathiri mpaka ww mkuu huku
Kuendana na uwezo wa hiyo Submarine pamoja na Mission wanayoenda kuifanya si lazima waingie kabisa Persian Gulf maana kwa Capabilities za hiyo Sub katika Electronic Warfare hiyo kazi yaweza kufanyika hata nje ya Gulf na ikawa Effectively.kwahiyo ni swala tu la kuisogeza karibu na ghuba, ili kazi ianze. Unless Otherwise!