Ningependa kusema tu kwamba sio kama siheshimu vyuo vya Tanzania, mimi ningependa kupata "international experience" huku ninasoma.
Lyamber, wazazi wangu ni watu wa kawaida sana(wote wawili ni madaktari, na wanafanya kazi tz). Ningejua kuna pakukimbilia ninapokosa kazi nisinge uliza swali. Anyway, siku hizi hata matajiri wanakosa ajira.