UK General Election 2019: Exit poll predicts 86-seat Conservative majority

UK General Election 2019: Exit poll predicts 86-seat Conservative majority

Boris Johnson is winning by majority, Corbyn has declared to quit his position as a Labour Leader.
 
Hivi kwani sisi tuna hizo itikadi?

..ni kweli hatuna hizo itikadi.

..lakini kwa uelewa wangu Tz tuna historia ya kuwa na urafiki na serikali za Labor party kwa upande wa Uingereza, na Democrats kwa upande wa Marekani.

..sasa wanapotokea uv-ccm na kuanza kushabikia chama cha Conservative naona kama hawaelewi vizuri historia yetu.

..Au kuna wengine humlilia Muamar Gaddafi wakisahau kwamba ktk vita vya Kagera Gaddafi alikuwa upande wa Iddi Amin.
 
JokaKuu,
Nani anamlilia Ghadafi, hakuna mtu JF anaeweza kuongea siasa za UK na mtu kama mimi.

Aje Asha Migiro pamoja na nafasi yake ya UN, Chahali au Kalaghe.

Science ya siasa za UK wote hao hawazielewi.

..asante.

..mbona kuna viongozi wakubwa hapa Tz wanadai Gaddafi alikuwa kiongozi mzuri hakutakiwa kupinduliwa?

..hata hapa Jamii forums kuna wachangiaji wengi tu wanaoonyesha kumkubali na kumuenzi Gaddafi.
 
Ghadafi Aaweza Kua alikua Kiongozi Mbaya Kwako Ama Kiongozi Mbaya Wakati alipomsaidia Eti Aliekua Adui Wa Tanzania Wakati Wavita

Ila Haimaanishi Yakwamba Gadafi Alikua Mbaya Kwa AFRICA Nzima

Unataka Kutuaminisha Eti Machafu Aliyoyafanza Ghaddafi Kwa TZ Tu Ndio Yafute Masafi Yake Yote Aloyafanya Kwengine AFRICA!!??...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..Gaddafi aliua askari wetu.

..hakuna justification ya Mtz yeyote yule kumshabikia au kusikitikia kifo chake.
 
..Gaddafi aliua askari wetu.

..hakuna justification ya Mtz yoyote yule kumshabikia au kusikitikia kifo chake.

Ni kweli aisee!

Ila ndo hivyo tena.

Ukitaka ku-reason na baadhi ya watu kuhusu huyo Gadafi wala hutaeleweka.
 
Back
Top Bottom