Mchakato wa kumtafuta mrithi wa Theresa May ndani ya chama cha Conservative wafunguliwa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
UINGEREZA: Chama cha Conservative chafungua mchakato wa kutafuta mrithi wa Theresa May

Aliyewahi kuwa Waziri waa Mambo ya Nje, Boris Johnson na Waziri wa sasa wa Mazingira, Michael Give wanapigiwa chapuo kushinda kinyang'anyiro hicho

Mchakato huo umefunguliwa saa 4 asubuhi na utafungwa saa 9 alasiri ambapo wenye nia wanapashwa kufuata taratibu za kutangaza nia ya ugombea

Waziri Mkuu, Theresa May alijiuzulu nafasi hiyo baada ya kushindwa kulishawishi Bunge kuhusu mpango wake wa kuiondoa Uingereza ndani ya Umoja wa Ulaya(EU)

Kiongozi mpya anatarajiwa kuwasilisha mpango mpya wa Uingereza kujitoa EU mnamo Oktoba 31 mwaka huu

======

REUTERS | Former British Foreign Secretary Boris Johnson (left) and Environment Secretary Michael Gove are among the frontrunners in the race to succeed Theresa May.

Around a dozen British Conservative MPs formally throw their hats into the ring on Monday in the fight to replace Theresa May as party leader and prime minister, with her former foreign secretary Boris Johnson seen as the runaway favourite.

Nominations to succeed May – who resigned on Friday as head of the ruling Tory party following her failure to deliver Brexit – open at 10:00 am (0900 GMT) and close at 5:00 pm (1600 GMT).

Britain's departure from the European Union, twice delayed and now set for October 31, will dominate a contest scheduled to run until late July and which, in the past, has been characterised by shocks and surprises.

The new leader of the centre-right party – which won the most seats at the last general election in 2017 – will almost certainly become prime minister, with May remaining in Downing Street in the meantime.

Unofficial campaigning already started weeks ago and Johnson has emerged as the undisputed frontrunner – although in previous leadership races the early pacesetter has never been victorious.

Current foreign secretary Jeremy Hunt, interior minister Sajid Javid and Environment Secretary Michael Gove are perhaps the best-known names of 10 other MPs also in the running.
 
Wewe jamaa utakua ni Mhaya ndio wanapenda kutumia neno "Wanapashwa" ha ha
 
Back
Top Bottom