UK Archbishop Say 'Not All of The Bible is True’

Status
Not open for further replies.

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
‘Not all of the Bible is true’ allege the British Cardinals

British Church Newspaper

Times on line

Roman Catholic Cardinal Archbishop Cormac Murphy O'Connor and Cardinal Keith O'Brien, Archbishop of St Andrew's and Edinburgh, together with other leading RC Bishops in Britain, have issued a new teaching pamphlet informing their flock that 'not all of the Bible is true'.

They added in their pamphlet The Gift of Scripture: "You should not expect 'total accuracy' in the Scriptures... We should not expect to find in Scripture full scientific accuracy or complete historical precision in secular matters". They added that "Genesis Chapters 1 11 are not to be taken literally, though they may contain historical traces". The new teaching paper has been issued as part of the 40th anniversary celebrations of Dei Verbum, the Second Vatican Council document explaining the place of Scripture in revelation. The Bishops went on to condemn what they called 'fundamentalism' for its 'intransigent intolerance', claiming that a "fundamentalist approach is dangerous when people of one nation or group see in the Bible a mandate for their own superiority; and even consider themselves permitted by the Bible to use violence against others".

So, basically, they're saying that parts of the Bible aren't accurate. This means that parts of the Bible aren't necessarily true, which in turn indicates that the Bible is not 100% "inspired by God", which logically results in the conclusion that it was therefore inspired/written by the only other alternative, man. If man created the teachings in the Bible, then it is obviously suspect, as even the best of mankind is full of crap sometimes

In an earlier RC publication, Plain Facts for Fair Minds, the RC Church says: "If Christ Himself had written the book and set it forth as a text book, so to speak, of His religion, we would rest securely and have no need to inquire further. That the Bible is not a book, like the Koran for instance, set forth by the founder of the religion as its authoritative exposition, is in fact the fundamental weakness of Bible Protestantism. If Christ had intended His religion to be Propagated and preserved by means of a book, can any conceivable reason be urged why He should not have written one?" In their pamphlet 'Question Box', the RC church adds: "Christ himself never wrote a line or commanded his apostles to write; their divine commission was not to write but to preach the gospel".

Whoa. This is huge news for the millions and millions of Catholics in the world. (I've been saying for years that the Bible should not be taken "literally", but nobody listened...)

The [Roman] Catholic bishops of England, Wales and Scotland are warning their
five million worshippers, as well as any others drawn to the study of scripture,
that they should not expect “total accuracy” from the Bible.

Historian Robin Castellanos wrote from Texas, "1 am a Christian and am finally glad that the Catholic church has yielded way to common sense. It's not the actual literal truth that matters, it's the message it sends".

The comments of the Bishops have provoked much reaction on religious web sites. Ian Henderson wrote from Australia: "The Bible defends itself and remains the world's bestselling book. Those who read it will find wisdom, guidance and God's way of salvation in Christ. Man's opinions come and go, but the Word of God endures forever".

"For verily 1 say unto you, Till heaven and earth pass, one jot or one tittle shall in no wise pass from the law, till all be fulfilled." Matthew 5:18

Source: British Church Newspaper

Times on line

churchsign_jesuscomingback.jpg
 
Last edited:
biblia imesema yeyote anayepotosha ukweli juu ya neno la mungu ni mpinga kristo na hao wapo ktk dunia hii.mfano wake ndio hawa ma archbishop. siku za mwisho zinatimia..
 
What would you expext from cardinals who support homosexuality.
In actual fact I will not be surprised if they cardinals married each other!!
But in the day of reckoning they will face the TRUTH.
 
Hawa jamaa Askofu US ni shoga!

Sasa hapa hawana moral authority kusema lolote!

Wamelikoroga...lazima walinywe!
 
Binafsi nimeacha kusikiliza "busara" au interpretation za hawa jamaa wazungu. Katika karne ya 21 si lazima mzungu whether ni Kadinali ama Papa ama whoever ani elekeze kwa mambo ya Imani. Ninaamini tunao ufahamu wa kutosha katika Imani, na zaidi sana hii ni Imani kama ilivyo Imani. Kila mtu ana uhuru wa kuamini ama kutokuamini yanayosemwa ama la.
 
‘Not all of the Bible is true' allege the British Cardinals

British Church Newspaper

Times on line

Roman Catholic Cardinal Archbishop Cormac Murphy O'Connor and Cardinal Keith O'Brien, Archbishop of St Andrew's and Edinburgh, together with other leading RC Bishops in Britain, have issued a new teaching pamphlet informing their flock that 'not all of the Bible is true'.

They added in their pamphlet The Gift of Scripture: "You should not expect 'total accuracy' in the Scriptures... We should not expect to find in Scripture full scientific accuracy or complete historical precision in secular matters". They added that "Genesis Chapters 1 11 are not to be taken literally, though they may contain historical traces". The new teaching paper has been issued as part of the 40th anniversary celebrations of Dei Verbum, the Second Vatican Council document explaining the place of Scripture in revelation. The Bishops went on to condemn what they called 'fundamentalism' for its 'intransigent intolerance', claiming that a "fundamentalist approach is dangerous when people of one nation or group see in the Bible a mandate for their own superiority; and even consider themselves permitted by the Bible to use violence against others".

In an earlier RC publication, Plain Facts for Fair Minds, the RC Church says: "If Christ Himself had written the book and set it forth as a text book, so to speak, of His religion, we would rest securely and have no need to inquire further. That the Bible is not a book, like the Koran for instance, set forth by the founder of the religion as its authoritative exposition, is in fact the fundamental weakness of Bible Protestantism. If Christ had intended His religion to be Propagated and preserved by means of a book, can any conceivable reason be urged why He should not have written one?" In their pamphlet 'Question Box', the RC church adds: "Christ himself never wrote a line or commanded his apostles to write; their divine commission was not to write but to preach the gospel".

Historian Robin Castellanos wrote from Texas, "1 am a Christian and am finally glad that the Catholic church has yielded way to common sense. It's not the actual literal truth that matters, it's the message it sends".

The comments of the Bishops have provoked much reaction on religious web sites. Ian Henderson wrote from Australia: "The Bible defends itself and remains the world's bestselling book. Those who read it will find wisdom, guidance and God's way of salvation in Christ. Man's opinions come and go, but the Word of God endures forever".

"For verily 1 say unto you, Till heaven and earth pass, one jot or one tittle shall in no wise pass from the law, till all be fulfilled." Matthew 5:18

Source: British Church Newspaper

Times on line

Bua ha ha..

X-Ugali naona unajitahidi kichizi ku-copy & paste.

Ila kama kawaida yako na wanyenyekevu wenzako huwa hamna substance ktk mnachokileta. Hii story ni ya kale sana, na mbaya zaidi ilishaletwa hapa JF na kutupwa kwenye archives, maana haina mashiko:

Unaweza kujiburudisha kwa ku-copy & paste tena kutoka hapa: https://www.jamiiforums.com/dini-imani/11258-catholic-church-no-longer-swears-truth-bible.html
 
Mtindio, hii imekaa vibaya, hao hao wanayosema haya wameshaoana wanaume kwa wanaume, I mean mapadiri kwa mapadiri, sasa wanakubali biblia si ya ukweli yote, duhh. wee bado tu umo!
 
Mtindio, hii imekaa vibaya, hao hao wanayosema haya wameshaoana wanaume kwa wanaume, I mean mapadiri kwa mapadiri, sasa wanakubali biblia si ya ukweli yote, duhh. wee bado tu umo!

Hakuna kitu kilichokaa vibaya hapo, ni upeo wako ndo umekaa vibaya.

Lakini hata hivyo I have much important issues on my desk than to attend, to your below pars, kwa sababu Mwamedi alisema kweli ktk kitabu chake, kuwa aliye ktk njia moja kuelekea maangamizi hata usipomwelekeza ni vema tu, kwa maana allah ameshampiga mhuri kwenye pasi yake kuashiria ukazi wa kudumu wa Jehanamu.

Ma'salama
 
Bua ha ha..

X-Ugali naona unajitahidi kichizi ku-copy & paste.

Ila kama kawaida yako na wanyenyekevu wenzako huwa hamna substance ktk mnachokileta. Hii story ni ya kale sana, na mbaya zaidi ilishaletwa hapa JF na kutupwa kwenye archives, maana haina mashiko:

Unaweza kujiburudisha kwa ku-copy & paste tena kutoka hapa: https://www.jamiiforums.com/dini-imani/11258-catholic-church-no-longer-swears-truth-bible.html

Kwani huwezi kuzungumza kwa taratibu mpaka upige mikelele na mimate ikutoke? Mvua ina afadhali... "sic"

Sasa unamtolea nani mijicho hapa... Kama ni vya kalee mbona bado unafuata na kuamini Fiction Book... a.k.a the bible?

Ooops! Mswaki kaka... maana hayo matapu tapu... dah! Balaa!
 
Huko maulaya wanahama ukiristo kama hawana akili vizuri na wengi wao wameona ukweli upo wapi.
 
Mimi tatizo langu siyo kwamba Biblia ina/haina vipengele visivyo ukweli (yeyote mwenye kufikiri atajua kuwa biblia haikutakiwa kuchukuliwa neno kwa neno), tatizo langu ni kwamba, hii dhana ya kwamba ukweli unaweza kuwa kitu kimoja tu ni dhana potofu.

Kifalsafa, kisayansi na vinginevyo, hakuna sababu ya ukweli kuwa ni kitu kimoja tu.Inawezekana kukawa na ukweli zaidi ya mmoja, au kukawa hakuna ukweli kabisa.

Ukienda ncha ya kusi ukaangalia juu utaiona Nyota ya kusini (Sigma Octantis) mtu atakayeenda ncha ya kaskazi ataiona Polaris, hawa watu wawili wanaweza kubishana kwamba nyota gani ipo juu kikweli, kumbe ukweli, kama wanavyosema "uzuri upo katika jicho la mtizamaji" unategemea na muangaliaji aliposimama.

Hata tukichukua kitu ambacho kinaonekana kuwa "constant" kama muda, muda sio tu unategemea umesimama wapi duniani, bali pia hata ukiacha kuangalia swala la time zones, utakuta muda unapita kwa kasi tofauti kati ya mtu aliyesimama na mtu anayeenda kwa kasi.

Kuna mtu alisema, ukisimamisha kila kitu kinachotembea, kuanzia mishale ya saa mpaka atoms za elements zote, muda nao utatoweka.

Kwa hiyo, siyo lazima kuwe na ukweli mmoja, inawezekana maneno ya biblia si ya kweli, inawezekana ni ya kweli, inawezekana si ya kweli na wala si ni ya kweli, inawezekana ni ya kweli na pia si ya kweli.
 
Hayo ni maswala ya imani kila mtu anayo imani yake la sivyo hakutakuwa na mtu anaye weza kutibitisha kuwa imani yake ndo sahihi.
 
Huko maulaya wanahama ukiristo kama hawana akili vizuri na wengi wao wameona ukweli upo wapi.

Na huku Africa na haswa TZ watu wanahama uislamu kama wenye akili nzuri maana wameiona nuru ya Kristo. Wasio na akili nzuri ndo mashoga na walipindishao neno maana wameikataa kweli kama watu wa Sodoma na Gomora!!

Nawe siku yako yaja utaujua ukweli!
 
Meanwhile, the LORD instructed one of the group of prophets to say to another man, "Strike me!" But the man refused to strike the prophet. Then the prophet told him, "Because you have not obeyed the voice of the LORD, a lion will kill you as soon as you leave me." And sure enough, when he had gone, a lion attacked and killed him.
1 Kings 20:35-36

What?!

Read more: terror in the bible
 
Mtindio, hii imekaa vibaya, hao hao wanayosema haya wameshaoana wanaume kwa wanaume, I mean mapadiri kwa mapadiri, sasa wanakubali biblia si ya ukweli yote, duhh. wee bado tu umo!

Sasa mwashangaa nini wakisema kuwa Biblia si ya kweli kama baadhi yenu wanavyosema? Na je, hiyo Biblia ambayo ni ya kweli (kinyume cha wanayosema) inawaruhusu kuoana wao kwa wao? Maana hiyo Biblia ambayo inadaiwa kuwa si ya kweli inakataza kuingiliana watu wa jinsia moja.
 
Cha kushangaa ni kwamba bado, die hards, wanashikilia kuwa ni ya kweli. Wana macho lakini hayaoni, wana masikio lakini hawasikii! Jee, na wewe ni mmoja katika hao wanaosema ni ya kweli?
 
Sitachangia maana nikisema mimi naambiwa mgomvi!! Haya sasa nawaacha na vioongozi wenu wenyewe.
 
Cha kushangaa ni kwamba bado, die hards, wanashikilia kuwa ni ya kweli. Wana macho lakini hayaoni, wana masikio lakini hawasikii! Jee, na wewe ni mmoja katika hao wanaosema ni ya kweli?

Mi naona uende kuomba kazi Ze Comedi,..

Hebu vuta subra usome kwa makini jinsi mungu wako Mwamedi a.k.a allah anavyovifagilia vitabu vya watu waliofuta ujinga kumzidi:

1. O ye who believe! Believe in Allah and His Apostle, and the scripture which He hath sent to His Apostle and the scripture which He sent to those before (him). Any who denieth Allah, His Angels, His Books, His Apostles, and the Day of Judgement, hath gone far, far astray (4:136 AYA).

2. We believe in Allah, and in what has been revealed to us and what was revealed to Abraham, Ismail, Isaac, Jacob, and the Tribes, and in (the Books) given to Moses, Jesus, and the Prophets, from their Lord: We make no distinction between one and another among them (3:84 AYA).

3. Those who follow the Messenger (Mohammed), the Prophet who can neither read nor write, whom they will find described in the Torah and the Gospel (which are) with them (7:157 MP)

4. And when there cometh unto them (Jews) a Scripture (the Qur'an) from Allah, confirming that in their possession (2:89 MP).

5. This Koran is not such as can be produced by other than Allah; on the contrary it is a confirmation of (revelations) that went before it, and a fuller explanation of the Book (10:37 AYA/38 MP).

6. None of Our revelations do We abrogate or cause to be forgotten, but We substitute something better or similar (2:106, AYA)

7. How come they (come) unto thee (Muhammad) for judgment when they have the Torah, wherein Allah hath delivered judgment (for them)? (5:43, MP)

8. Let the People of the Gospel judge by that which Allah hath revealed therein. Whoso judgeth not by that which Allah hath revealed: such are evil-livers. (5:47, MP)

9. Say: "O People of the Book! Ye have no ground to stand upon unless ye stand fast by the Law, the Gospel, and all the revelation that has come to you from your Lord" (5:71 AYA/68 MP).

etc

Bua ha ha ..Haya sasa, endelea kumtukana mungu wako Mwamedi..

Lete burdani zaidi..
 
Mie natoa ushauri tu kwa wale wote waislam na waso waislam. Someni kitabu cha Haroon Yahya 'The miracles of ALLAH in the Koran'. Ukweli wa kipi kitabu chenye maneno sahihi ya Mwenyezi Mungu mtaupata.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom