UK-Africa Investment Summit 2020: Where is top level Tanzania representative?

abudist

JF-Expert Member
Oct 25, 2009
850
780
Nchi 21 za Afrika zimehudhuria

Wawakilishi zaid ya 1500

Miradi ya jumla ya Pauni Bil 6.5 imetangazwa.

Je hatutaki fursa hii na sisi wanachama wa jumuia ya madola? Baada ya Brexit mwezi huu kuna fursa kubwa za biashara na waingereza. Au ni bora inatosha kufanya biashara na wachina tu? Deal kama hizi rais wa nchi anatakiwa awepo kwenye meza ili na Tanzania ipate mgao wa keki yake.


 
January 20, 2020
London

Hotuba ya Waziri Mkuu wa Uingereza katika kikao cha UK- Africa Investment Summit 2020


Source: video courtesy of RT
 
Nchi zote za common wealth afrika zimehudhuria?
Acha mawazo finyu mkuu achana na wengine wa jumuia ya madola. Tunaongelea sisi kama watanzania nchi hii ina watu zaidi ya milion 50, wasomi na wasio wasomi, wakulima, wajasiliamali n.k wote wanatafuta fursa. Si rais wetu kila siku anaongea kuhusu swala la fursa sasa hiyo ni nini? Kila akiapisha balozi anasisitiza waende wakalete wawekezaji si ndiyo? Halafu yeye mwenyewe kwenye fursa kama hizo anakaa kando. Ndiyo maana tunashindwa hata na Rwanda na hili ni tatizo la watu wenye mawazo kama yako mkuu. Hawatolipeleka hili taifa mbali shauri ya muono hafifu wa uchumi na maendeleo.
 
Mimi nimeuliza swali wewe unaanza kuni attack
 
 
Tunakimbizana na nida ujinga mtupu,
 
Sisi hata kwenye kuchagua huo upande tumeshindwa, tupo tunapambana na Upinzani! Tuna matatizo mahali si bure
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Acha vituko na wewe, jiwe akienda huko atakwenda kuongea kitu gani kikaeleweka?
 
Kagame hiki kimbelembele chake ni too much sasa kwenye meeting zote za kimataifa lazima awepo mbele.
Hii kidplomasia ina msaada gani?
.
Na kwa kuchangia mada ya uzi sisi ni donor country hatuna haja ya kujikombakomba
 
Uchumi wetu unakua kwa kasi ya zaidi ya 7% , wananchi wetu kipato kiko juu sasa na wanafurahia maisha, watoto wetu wanasoma buree, huduma za afya bora kabisa na zakisasa..

Tumeshaanza kujitegemea nakutoa misaada kwa nchi za kiafrica, hatuhitaji kwenda kwenye hizo summit acha waende mataifa masikini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…