Ujuzi juu ya Uandishi wa Makala

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,503
6,374
Habari wana JF

Mimi napenda sana nije kuwa mwandishi mkubwa sana wa makala, napendelea kuandika makala juu ya mazingira na jamii na napenda makala nitakazotoa ziwe zimesimama kweli kweli.

Naamini wazoefu watakuwemo humu jamvini mtumwagie maujuzi na uzoefu wenu na ili makala isiishe utamu kwa msomaji iweje?

Karibuni sana wadau!!

Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom