Ujuzi gani unaweza kumfaa mke wangu

Ujuzi gani unaweza kumfaa mke wangu

Habari.

Ujuzi gani ninaweza kumtqfutia mwanamke ukamsaidia kuingiza hela katika maisha ya sasa.

At least 10000 per day.
usimpe mtaji kama yeye hana nia hiyo
usiwe wewe wa kumtafutie cha kufanya unless awe amekuomba ushauri
utapoteza hizo pesa

muache yeye ndo atake afu akuombe umpush ...
hatua ya kwanza ya kufanikiwa kwenye biashara ni mtu yeye mwenyewe kutaka kukifanya kile kitu kabla ya ela

yaani hata kuku wa kisasa box moja usimueekee watakufa woote
unles kataka yeye
wanawake wengine hawapendi heka heka
utampa mtaji hapo atauchakata woote
kama kapenda kukaa nyumbani
muache
 
Nau
usimpe mtaji kama yeye hana nia hiyo
usiwe wewe wa kumtafutie cha kufanya unless awe amekuomba ushauri
utapoteza hizo pesa

muache yeye ndo atake afu akuombe umpush ...
hatua ya kwanza ya kufanikiwa kwenye biashara ni mtu yeye mwenyewe kutaka kukifanya kile kitu kabla ya ela

yaani hata kuku wa kisasa box moja usimueekee watakufa woote
unles kataka yeye
wanawake wengine hawapendi heka heka
utampa mtaji hapo atauchakata woote
kama kapenda kukaa nyumbani
muache
Naunga mkono hoja
 
Sasa ndugu yangu kama sio kututafuta ugomvi jf ni nini. Yaan mkeo si tena tukupangie na wewe ndo unae hapo na wewe ndio unajua una shiling ngapi za kufanya unachouliza. Mtu akikuambia mpeleke awe anagegedwa na wa china wanamlipa zaid ya hiyo 10k utalaumu? Hapa ulikua useme una sh ngapi mfukoni ya kumfungulia mke wako hich au hichi ndo upewe ushauri atleast wa kueleweka. Haya mim nakushauri umfungulie kanisa apate sadaka
 
Habari.

Ujuzi gani ninaweza kumtqfutia mwanamke ukamsaidia kuingiza hela katika maisha ya sasa.

At least 10000 per day.
1. Event management
2. Kupika keki
3. Kushona.
4. Home decorations
 
1. Ushonaji
2. Ususi
3. Kanisa/Msikiti (kulingana na imani yake)
 
Habari.

Ujuzi gani ninaweza kumtqfutia mwanamke ukamsaidia kuingiza hela katika maisha ya sasa.

At least 10000 per day.
...labda nitumie uzoefu kwa upande wangu, ila sija impliment kwa wife coz yeye tayari ni muajiliwa..nilikutana na program moja Morogoro ya kilimo cha drip irrigation ya kutumia Jaba kwa umwagiliaji wa miche 300 ya mboga. Then nikavutiwwa na kuuchukua ule mfumo na kuweka home but ilikuwa kwaajili ya mboga za nyumbani tu..so nikamwachia binti wa kazi awe anaipitia kujaza maji na kusia mbegu..aisee nilikuja kugundua anauza mboga almost zaidi ya 15k kwa siku ...ikabidi nimwambie tuu 10k aweke pembeni then inayozidi afanye expenditure zake ...so mjaribie hiyo inaweza mkeep busy na akapiga pesa vizuri..
 
Unaweza usishindwe lakini unataka kunambia kwamba kazi ya maisha yake yote iwe ni kulea watoto na kuosha vyombo tu,(kazi za nyumbani) Hata biblia haisemi hivyo mkuu.
Your wife can be productive too.
Biblia ndo uchafu gani mkuu. Tunaongelea mambo ya ndoa na huduma kwa mkeo, hatuongelea nyenzo zilizotumika kututawala na kutunyanyasa wa Africa
 
Mkuu kaa chini na mke wako mzungumze kwa kina na umsikilize ili kuelewa mawazo na mipango yake

ANGALIZO: mwanaume anatakiwa kuchambua kwa makini mawazo hayo, kupima uhalisia wake na kuona kama yanawezekana kutekelezeka

Pia jitahidi kumjua mke wako zaidi: Anapendelea nini? Ana uwezo gani? Au alikuwa akijishughulisha na nini kabla ya kumuoa?

Kumsomesha mtu ujuzi ambao hana hamu au kipaji nao kunaweza kuwa ni kupoteza muda na fedha

Ni bora kuwekeza kwenye kitu ambacho kinaendana na shauku, uwezo na malengo yake
 
Back
Top Bottom