Ujuzi dhidi ya Binadamu katika kujifunza

Ujuzi dhidi ya Binadamu katika kujifunza

let the caged bird sings

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2020
Posts
4,097
Reaction score
9,611
Baada ya mamilioni miaka kadhaa ya vita ya nuclear ambayo ilihusisha Allies tofautitofauti( vita hiyo ndiyo iliua wanyama wakubwa kama dinosaurs etc) achana na habari za kuanguka kwa kimondo kama inavyoelezwa na wanasayansi.

Hivi majuzi wanasayansi wamegundua mlipuko mkubwa wa nyuklia ma mamilioni ya miaka huko Liberia.

Hiyo ni vita ilipigang'anwa mamilioni ya Miaka huko nyuma na race kadhaa za allies kutoka maeneo tofauti tofauti. Baada ya vita hiyo

Ellojim kutoka sayari(unknown planet) wakaja duniani wakaoumba binadamu kwa mfano wao then wakaondoka zao.

Kumbuka kuwa baada ya vita hiyo jamii nyingi za allies waliangamia na wengine kuondoka na kwenda galaxy nyingine kuanzisha life yao ila kuna race zaidi 15 walibaki hapa dunia ambao hadi leo wapo tunaishi nao. Yahaya sheikh aliwai sema"si kila mtu unae kutana nae ni binadamu pure kama wewe".

Kuna madada watatu wa Brazil walieleza tukio fulan la kutisha baada ya kukutana na mtu wa ajabu na kwa jinsi alivyokuwa kwa mjibu wa maelezo yao ni si kiumbe wa kawaida. si hiyo tu kuna kuna countless ya masimulizi ukiyachambua una ona kitu.

Huko Botswana jamaa mmoja anasema" ilikuwa ni majira asubuhi tunakwenda shambani mimi, baba, mama na wadogo zangu tuliona viumbe wakiwa na mfanano na binadamu ila ni wafupi na macho makubwa.

Tulisamama kwa dakika kadhaa tukiwakazia macho na wao pia walikuwa wakitungalia bila wasi wasi wowote. Baba yangu alisema "hawa watakuwa malaika" ila baada ya miaka kadhaa na kusoma doc na machapisho mbali mbali nikagundua kuwa-: kile tulichokiona siku ile mimi pamoja na wazazi wangu haikuwa malaika kama baba alivyo hisi bali ni allies.

Ellojimu waliumba binadamu na kuondoka (hadi leo haijulikani kusudi lao la kuumba binadamu katika sayari hii) .

Dada mmoja( si binadamu kama wewe na interview yake hipo(swala la kuwa ni kweli ama uwongo dhidi ya anachokisema ilo ni juu yako wewe) anasema" baada ya Ellojimu kuumba binadamu na kuondoka tuliendelea kuishi na binadamu kama kawaida japo hatujui kusudia lao kubwa la kuumba binadamu Katika sayari hii.

Toka kuumbwa kwao Binadamu hawakuwai kuwa na hisia mbaya dhidi yetu, ila baada ya maelfu kadhaa ya miaka Ellojimu walirudi duniani na kuwakataza binadamu wasishirikiane nasi kwa mdai kwamba sisi ni viumbe waovu..kuna baadhi hadi leo uamini hivyo kuwa sisi ni viumbe waovu ila wengine sio.

Itaendelea siku nikipata vibe kueleza kila nilichoking'amua katika ile documentary.

Jf ya zamani ilikuwa raha sana kuna watu wanajua vitu sasa hawapo tena Jf.
 
Hua naelewa habari hizi ila c hii
JamiiForums2073952431.jpg
 
Jf ya zamani ilikuwa raha sana kuna watu wanajua vitu sasa hawapo tena Jf.
 
Back
Top Bottom