Ujumbe wangu wa usiku wa leo.....

Mtu wa 1: Tumsaidie jamani...

Mtu wa 2: Huyo? Unachokitafuta utakipata.

Mtu wa 3: Mi kumsaidia hapana ila kama unataka tumhoji ilikuaje akaingiza kichwa kwenye sufuria nipo tayari

Mtu wa 1: Jamani siyo vizuri, anahitaji msaada huyu

Mtu wa 4: Mi sitaki ushahidi naondoka.

Mtu wa 3: Pia naweza kubaki kushuhudia mbio anazoweza kukimbia binadamu na wingi wa damu anayoweza kutoa
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ , ukishamtolea tu hilo Dubwasha, Mara paap njaa ishamdaka ,ana ww.

Ama kweli umenena vyema ,mtu unaweza msaidia na asiuthamini msaada wako
 
Ukitoa msaada hapo unageuzwa supu, mifupa itakuwa toothpick dadeki.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ , ukishamtolea tu hilo Dubwasha, Mara paap njaa ishamdaka ,ana ww.

Ama kweli umenena vyema ,mtu unaweza msaidia na asiuthamini msaada wako
labda wamkate kwanza miguu ya mbele halafu ndio wamsaidie.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…