Ujumbe wangu wa leo..............

R. I. P mzee nyerere... Ngedere wameshavamia shamba lako uliloliacha. Wamekula mahindi yote uliyoyaacha kwa kizaz cha baadae...
Uliowaita wahuni leo ndio viongoz wetu.
 
Usirudi baba RIP huko ulipo maana hufiki huku wakijua unakuja watakutoa roho njiani ni wanyama hawa si watu
 
Angeanzia na Prof Tezi Dume kushuka chini hadi akina Lusinde mwisho kabisa Mariam Kisangi.
 
Babu usirudi huku ni mazingaombwe tu. Akina Asumpta wanataka'' URAHIS''yaan nchi imekua kama bucha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…