Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Naanza kushindwa kukuelewa kaka.....
Kampokea Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yake.hata mimi nashindwa kumwelewa mzizimkavu, mkuu...
Naanza kushindwa kukuelewa kaka.....
Kampokea Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yake.
hata mimi nashindwa kumwelewa mzizimkavu, mkuu...
Safari moja huanzisha nyingine.
Kwa imani ya Dini ya Kiislam tunamkubali Bwana YESU kama ni Mtume na Nabii wa Mwenyeezi Mungu. Hatumkubali kuwa BWANA YESU Kuwa ni Mwana wa Mungu au hata Mungu mwenyewe sijuwi wewe utamkubali kuwa Mtume Muhammad Rehema za Allah ziwe juu yake na Amani, kuwa ndie Mtume Wa Mwisho katika Dunia hii kutumwa na Mwenyeezi Mungu ?Safari moja huanzisha nyingine.