Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
IMEDHAMININWA!!!Ina manisha hilo Tangazo limedhaminiwa na hao waliosema kuwa ( IMEDHAMININWA!!!) Wadhamini ni Zanzibar Daima Online hawa bonyeza hapa http://www.zanzibardaima.net/Ameandika WACHA KUIMWAGIA ZANZIBAR TINDIKALI Hapo nimemuelewa na nina muunga mkono hicho ni kitendo kibaya saana na baada ya hayo maneno chini ameandika IMEDHAMININWA!!! Hili neno kidogo limenichanginyi naomba msaada wenu sijalielewa