Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Kwa hiyo nina weza kufa kwa kipindupindu mkuu mjasilia
Hilo ndilo janga..! Ila ujue hii inji mkuu ni inji ya mchuma janga...! Look very you will go with water. Bongo nyumbani kwao majanga.
Ok sasa itabidi nije kw amuda nifikie Hoteli ninafikiri kwenye Hoteli kubwa nitapata maji safina umem ingawa Dares-salaam mjini hakuna Maji safi naBado umem wa Tanesko niumeme wa mgao Mkuu mjasilia any way i will turn back very soon in europeHilo ndilo janga..! Ila ujue hii inji mkuu ni inji ya mchuma janga...! Look very you will go with water. Bongo nyumbani kwao majanga.
Potter ndo kakupangia hiyo mizigo? Umempa tip lakini?
Nahisi na chumba umeacha wazi..