Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
=Je umekufa ? [HAPANA]
=Upo gerezani? [HAPANA]
= Umewahi onja maumivu ya kuwa mtoto wa mtaani? [HAPANA]
=Umelazwa hospitali? [HAPANA]
=Je unakosa chakula na sehemu ya kulala? [HAPANA]
=Je umekosa familia? [HAPANA]
=Wewe ni kipofu? [HAPANA]
=Je uko katika misukosuko ya kuhatarisha maisha yako? [HAPANA]
=Je wewe ni mzima mpaka dakika hii? [NDIO]
= Uliianza January salama na sasa uko July salama ?[NDIO]
=Unafamilia inayokujali? [NDIO]
=Umepata bahati ya kusoma? [NDIO]
=Unakipato unachoridhaka nacho? [NDIO]
=Unalala pazuri? [NDIO]
=Unajiamulia muda wa kula na kulala? [NDIO]
=Una aman na furaha kwa kile upokeacho?[NDIO]
=Wewe ni mzima na unaisoma post hii? [NDIO]
=Una afya njema na unaweza kusoma vyema hii post? [NDIO]
Ni kweli, huna kila kitu ila una bahati kuliko watu wengi.....
Sasa hebu niambie ni kipi kitakachokuzuia kumshukuru "YULE ANAYEFANYA MAMBO YOTE HAYO KUWEZEKANA KWAKO?"
HAJAWAHI KULALA AU KUSINZIA NA KUKUACHA PEKE YAKO DAIMA YUKO KWA AJILI YAKO.
Ni kweli uyasemayo hasifiwi binadamu mpaka atakapo kufa ndipo watu wanamsifia marehemu alikuwa mtu mzuri anawasaidia watu ........ atakapo kufa binadamu ndipo watu wengine wanajuwa umhimu wake marehemu .......... Sisi Miafrika bwana ndivyo tulivyo tu.Truly great thinker MziziMkavu
Hatuwezi kuona thamani ya kile tulichonacho mpaka tukikose
Duh! Kweli A PICTURE PAINTS A THOUSAND WORDS. Hii picha na ujumbe wako viko very powerful.