Ujumbe Wangu wa Leo Asubuhi...

Za kale hapakuwa na biashara huria kama hivi sasa ya mirungi bangi na unga na kila aina ya uwasharati upo open na ndo maana kila kukicha ni ajali na vifo tuu
 
Acha mabasi kitu bodaboda bwana fika muhimbili ndo utajua tatizo ni kubwa kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…