Ujumbe wangu kwenu

Nakumbuka ulisema Ufukweni, kumbe Chumbani...? Mwache alale, tutamalizana akishaamka.
Ndio ufukweni lakini sio weekend hii, nimetaja na tarehe. Kipindi hiki utamsumbua tu mtoto wa watu
 
WORD
 
Ndio ufukweni lakini sio weekend hii, nimetaja na tarehe. Kipindi hiki utamsumbua tu mtoto wa watu

Kesha kuwa mtoto? tena wa Watu? Yeye ndio atanisumbua maana kama unakumbuka anaitafuta hiyo kitu kwa ajili yangu....
 
Kesha kuwa mtoto? tena wa Watu? Yeye ndio atanisumbua maana kama unakumbuka anaitafuta hiyo kitu kwa ajili yangu....
Dawa yako inachemka.
Hauruhusiwi kuuliza swali. Wewe unatakiwa kuitikia ndio.
Hata kama nanilii pia sema ndio[emoji23][emoji23]
 
ooh hapo sawa lakini usiache kuomba kupata wa kfanana nawe mwende sawa
 
Aya bwana nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…