Ujumbe wangu kwa Watanzania kama MUONAJI (seer)

Shayu

Platinum Member
May 24, 2011
608
1,653
Udaktari wetu, uhandisi wetu, uanasheria wetu hauwezi kutuokoa hata kama ni bora kiasi gani katika field zetu dhidi ya maangamizi kama hatuna busara na kama hatutatumia utaalamu wetu kwa faida ya jamii.

Mataifa huangamia kwa kukosa busara na sio watu wa aina hii, unaweza kuwa nao na taifa likafa kifo cha mende what count is righteousness, love, faithfulness and goodness. Taifa lenye watu wa namna hii halifi.

Taifa lenye watu wenye profesional wengi na hao professional wengi waovu haliwezi endelea what count is goodness.

So we must teach people to be good and to love God. Wicked professional are useless kama wale ambao hawajaenda shule kabisa.

We can not progress without righteousness.

If our professionals are not honest, they don't speak the truth, they are selfish and corrupt watawezaje kutufaidisha vya kutosha kama jamii?

So we must look careful how we conduct ourselves, huko ndiko chem chem ya uhai hupatikana.

that is essential for our progress. By that way we can preserve our country and our future as state. And our hope will be brighter as the sun.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom