Ujumbe wangu kwa Wanazuoni wa kiislamu

Aslm alykm,ndugu.

Hii kwa wanazuoni wa kiislamu.Natumai mnaendelea vyema saumu/funga katika mwezi huu mtukufu.

Najua kuna wanazuoni wengi wana elimu ya dini ya kiislamu.Aidha wanaweza kutusaidia kwa kutoa elimu au kuondoa hii misunderstanding ya uelewa iliyopo maana sisi tusio na elimu kubwa ya dini tunafuata miongozo ya wanazuoni wetu ,mashekh na mamuft au wanazuoni wengi.

Nataka kuzungumzia katika suala la Sala ,kwa kuwa tumeamrishwa kusali haina maana tuwe tuna kwenda msikitini tuu kuinama na kuinuka bali Sala zetu zinapaswa tuzisali sahihi ili ziweze kupokelewa.

Kuna jambo ambalo nahitaji kuelewa zaidi au nipatiwe elimu zaidi katika Sala ,labda kuna wanaofahamu tofauti na ninavyofahamu.

Sisi waislamu tuna sala tano kwa siku ,na katika Sala hizi kuna Tashah-hud au Attahiyatul mbili tuu.Tashah-hud ndogo inakaliwa baaada ya rakaa mbili za mwanzo na Tashah-hud kubwa inakaliwa mwisho katika hali ya Qadah yaani Rakaa ya mwisho.

Hivyo mtu akisali sala yeyote anapaswa akae Tashah-hud au tahiyatul mbili tuu kubwa na ndogo.

Lakini nimekuwa nikishuhudia mara zote watu mbalimbali wakisali kama Maamuma (wanaoongozwa na Imam ) wanakaa Tashah-hud/Tayatul zaidi ya mbili .

Mfano,Maamuma akichelewa Rakaa moja ,sala ya alaasir .Anamkuta labda imamu na Maamuma wapo rakaa ya pili wamesimama Qiyama ,anafika ana unga ,Imamu akienda chini Sujda mbili na yeye anamfuata alafu imamu ana kaa katika Qadah ,alafu Attahiyatul ndogo au Tashah-hud ndogo na Maamuma ana kaa pamoja na kutoa shahada.

Imamu anasimama kumalizia rakaa mbili za mwisho baadaye kukaa Tashah-hud au Tahiyatul kubwa na kusoma pia Sala ya mtume pamoja na kutoa shahada na Maamuma anafanya hivyo hivyo.

Imamu anatoa salaamu kuashiria kumaliza Sala ,maamu hatoi salaamu bali anasimama ili kumalizia rakaa aliyochelewa mwanzo .

Lakini Maamuma anavyokwenda sujda ya mwisho na kukaa Qadah ya mwisho ambayo ni Attahiyatul au Tashah-hud ya mwisho ,Maamuma tena anatoa Shahada vile vile tena .

Hapa Maamuma atakuwa amekaa Tashah-hud au Attahiyatul tatu ikiwa alipaswa kukaa mbili tuu.Hili linafanywa na watu wengi sana ila Sioni elimu haswa ikitolewa au ufafanuzi ukitolewa katika hili.

Navyoelewa Mimi.

Imaam ni leader yaani kiongozi , Maamuma ni anayeongozwa ikiwa mtu amechelewa rakaa ya kwanza au ya pili akiunga kwa imamu Kuwa Maamuma ina maana anapaswa kuongozwa na kumtuata imaam kama imamu yupo rakaa ya pili na wewe kwako itakuwa Rakaa ya pili ukiongozwa na imamu .

Imaamu akikaa Tashah-hud au Attahiyatul ndogo na wewe ni ndogo kwako,imamu akikaa pia Tashah-hud au Attahiyatul kubwa na wewe ni kubwa kwako ila tuu hutatoa Salaam kama imaamu au maamuma wengine walioanza na imamu bali utasimama katika Qiyama ili kumalizia rakaa uliyoiweka pending kwa kuchelewa ,utaenda Sujjda mbili za mwisho alafu utatoa salaamu hutatoa shahada au kusoma Sala ya mtume sababu ulisoma ulitoa shada na kusoma Sala ya mtume ukiongozwa na Imamu.

Nina Amini hakuna Sala yenye Attahiyatul tatu au Tashah-hud tatu.

Wasalaam,

Nipo tayari kusahihishwa.
uko sawa tunga kitabu au toa jarida tununue isambazwe hii elimu ni kubwa
 
Asalam aleykm, ndugu.

Hii kwa wanazuoni wa kiislamu. Natumai mnaendelea vyema saumu/funga katika mwezi huu mtukufu.

Najua kuna wanazuoni wengi wana elimu ya dini ya kiislamu. Aidha wanaweza kutusaidia kwa kutoa elimu au kuondoa hii misunderstanding ya uelewa iliyopo maana sisi tusio na elimu kubwa ya dini tunafuata miongozo ya wanazuoni wetu, mashekh na mamuft au wanazuoni wengi.

Nataka kuzungumzia katika suala la Sala ,kwa kuwa tumeamrishwa kusali haina maana tuwe tuna kwenda msikitini tu kuinama na kuinuka bali Sala zetu zinapaswa tuzisali sahihi ili ziweze kupokelewa.

Kuna jambo ambalo nahitaji kuelewa zaidi au nipatiwe elimu zaidi katika Sala ,labda kuna wanaofahamu tofauti na ninavyofahamu.

Sisi waislamu tuna sala tano kwa siku ,na katika Sala hizi kuna Tashah-hud au Attahiyatul mbili tuu.Tashah-hud ndogo inakaliwa baaada ya rakaa mbili za mwanzo na Tashah-hud kubwa inakaliwa mwisho katika hali ya Qadah yaani Rakaa ya mwisho.

Hivyo mtu akisali sala yeyote anapaswa akae Tashah-hud au tahiyatul mbili tuu kubwa na ndogo.

Lakini nimekuwa nikishuhudia mara zote watu mbalimbali wakisali kama Maamuma (wanaoongozwa na Imam) wanakaa Tashah-hud/Tayatul zaidi ya mbili.

Mfano, Maamuma akichelewa Rakaa moja ,sala ya alaasir .Anamkuta labda imamu na Maamuma wapo rakaa ya pili wamesimama Qiyama, anafika ana unga, Imamu akienda chini Sujda mbili na yeye anamfuata halafu imamu ana kaa katika Qadah, halafu Attahiyatul ndogo au Tashah-hud ndogo na Maamuma ana kaa pamoja na kutoa shahada.

Imamu anasimama kumalizia rakaa mbili za mwisho baadaye kukaa Tashah-hud au Tahiyatul kubwa na kusoma pia Sala ya mtume pamoja na kutoa shahada na Maamuma anafanya hivyo hivyo.

Imamu anatoa salaamu kuashiria kumaliza Sala, maamu hatoi salaamu bali anasimama ili kumalizia rakaa aliyochelewa mwanzo .

Lakini Maamuma anavyokwenda sujda ya mwisho na kukaa Qadah ya mwisho ambayo ni Attahiyatul au Tashah-hud ya mwisho ,Maamuma tena anatoa Shahada vile vile tena.

Hapa Maamuma atakuwa amekaa Tashah-hud au Attahiyatul tatu ikiwa alipaswa kukaa mbili tuu.Hili linafanywa na watu wengi sana ila Sioni elimu haswa ikitolewa au ufafanuzi ukitolewa katika hili.

Navyoelewa Mimi.

Imaam ni leader yaani kiongozi , Maamuma ni anayeongozwa ikiwa mtu amechelewa rakaa ya kwanza au ya pili akiunga kwa imamu Kuwa Maamuma ina maana anapaswa kuongozwa na kumtuata imaam kama imamu yupo rakaa ya pili na wewe kwako itakuwa Rakaa ya pili ukiongozwa na imamu.

Imaamu akikaa Tashah-hud au Attahiyatul ndogo na wewe ni ndogo kwako,imamu akikaa pia Tashah-hud au Attahiyatul kubwa na wewe ni kubwa kwako ila tuu hutatoa Salaam kama imaamu au maamuma wengine walioanza na imamu bali utasimama katika Qiyama ili kumalizia rakaa uliyoiweka pending kwa kuchelewa, utaenda Sujjda mbili za mwisho alafu utatoa salaamu hutatoa shahada au kusoma Sala ya mtume sababu ulisoma ulitoa shada na kusoma Sala ya mtume ukiongozwa na Imamu.

Nina Amini hakuna Sala yenye Attahiyatul tatu au Tashah-hud tatu.

Wasalaam,

Nipo tayari kusahihishwa.

Mkuu, mbona wapotea jumla?
 
Back
Top Bottom