Ujumbe wako kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu watarajiwa

Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,616
1,714
Una ujumbe gani kwa wanafunzi wanao tarajia kuingia Vyuo Vikuu. Mimi ujumbe wangu " Mkasome, kwa bidii" huku mkijua maisha huko chuo, ni tofauti kabisa na ya huku mtaani.
 
Mtakuwa Huru from Mkuu wa Shule,mama na Baba au aunty na Uncle.Wasichana muwe makini mkicheza Amtoolewa milele,Boys Mtachanganywa kama amtokuwa Serious na mtaendelea kuchanganywa till death.Mmefata masomo Someni .....NO LOVE THERE.BE STORNG FATA ULICHOFATA🤣🤣🤣🤣Read a book CALLED ROSE MISTIKA
 
Back
Top Bottom