Ujumbe wa wazi kwa Rais Magufuli na Serikali

magufuli hii imezidi, lakini mungu ako, inawezekana jiwe usione mwaka wa 2020, mungu halali wala hali ugali au samaki
Hii hapa ndio uhalisia
IMG_20191105_232042_433.JPG
 
Wale watendaji hawakwenda ikulu kuangalia ndege tausi na kulishangaa jiwe lenye kipara Kama tenki la bodaboda
Wanatekeleza maagizo.
 
Nipo Mbagala hapa ofisi ya mtendaji naona kwenye fomu yao wagombea wa upinzani wote hawajateuliwa ila was CCM wote wameteuliwa .


Hii inaleta picha mbaya sana kwenye democracy ya nchi yetu. Sitaki kuamini kuwa hawa wagombea wote ni vilaza wa kiwango hiki wanachotaka kutueleza CCM.

Hivi inamaana kipindi cha nyuma wagombea walikuwa wanajazaje hizi fomu mpaka sasa hivi wanakosea tena wanaokosea ni wale wa upinzani tu.

Msimamo wangu upo pale pale sitopiga kura kwa chaguzi zote zilizobakia mpaka.

Demokrasia ilishapotea hata enzi ya chama kimoja haikuwa hivi .
 
Jiwe huwa anasikia, huu ujinga ndio mchezo wake kwenye uchaguzi toka akiwa mbunge ndio alikuwa akifanya uhuni huu huu.
 
Maelezo mengi hakuna la maana


State agent
Kwa akili yako ndio umeona hayana maana,kwetu yana maana kubwa sana.
Kwa wanao jua umuhimu wa Amani yetu yana maana kubwa sana,wengine mliobaki mnamdanganya Rais lkn ukweli ni katika andiko hilo.Ulichokiandika wewe ni utumbo
 
Back
Top Bottom