Ujumbe wa simu, uchaguzi mkuu 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe wa simu, uchaguzi mkuu 2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mkombozi, Sep 20, 2010.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Weekend iliyopita nikiwa natafakari ugumu wa maisha, iliingia message kwenye simu yangu kwa namba ambayo sikua nayo kwenye simu yangu. Nikasema ngoja nishare hii message na wanajamii wenzangu. Messessage inasema kama inavyoonieka hapo chini. Nimenukuu ilivyo

  “Wakinge Uwapendao na SISIMU, Vunja Ukimya zungumza na CHADEMA, kuokoa taifa lako linaangamia kwa ufisadi, badili mfumo na kura yako. Eneza ujumbe huu. God bless TZ”
   
 2. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Bado haujakaa vizuri. nafikiri Tunahitaji kuufanyia kazi ukae vizuri zaidi. Japokua wametulazimisha kusajili laini tutatuma tu.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ni haki ya kiraia hiyo kuwasiliana!...Hakuna tusi katika ujumbe huo, wala hakuna maisha yanayohatarishwa hapo!!
   
 4. h

  hagonga Senior Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nimeupata, naona ni ujumbe mzuri
   
Loading...