Ponjoro wa Kinondoni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2024 Posts 3,740 Reaction score 10,240 Aug 17, 2025 #1 1. Luhaga Mpina atapewa kazi maalumu (kazi hiyo ni kuwahadaa watu kupitia ACT Wazalendo) 2. Luhaga mpina atakuwa mbunge wataifa (baada ya uchaguzi amepanga kumpa nafasi 1 kati ya zile 10 za rais bungeni) Mwisho wa igizo.
1. Luhaga Mpina atapewa kazi maalumu (kazi hiyo ni kuwahadaa watu kupitia ACT Wazalendo) 2. Luhaga mpina atakuwa mbunge wataifa (baada ya uchaguzi amepanga kumpa nafasi 1 kati ya zile 10 za rais bungeni) Mwisho wa igizo.