Ujumbe wa masanja mkandamizaji kuhusu wanawake katika mahusiano!

sms.jpg

Sasa huyu ameandika lugha gani?
 
dot com wa siku hizi ni wavivu hata kuandika kazi wataweza kufanya kweli?
 
daaaah mimi napia tu lakin msije sahau mlikotoka sahizi mmekua basi mwajiona mmeota mapembe.jf ni kwa wote je anavoandika b4 au xaxa huelewi alichokiandika?acheni unafiki na kila kitu kina mwanzo na mwisho wake huwez kunifananisha mimi 24yrs na 45yrs maongez yetu yatakuwa tofauti:closed_2:
 
dot com wa siku hizi ni wavivu hata kuandika kazi wataweza kufanya kweli?


Yaani tabu tupu, mivivu kusoma, kazi za nyumbani ndo usiseme mtoto hat akufua nguo yake mwenyewe hajui wananiudhi sana, kipindi cha nyuma haikuwa hiv kabisa sijui ni malezi au nini
 
yaani waweza pokea message unashindwa kuelewa ila kwa haraka futa maana inawezekana ikawa virus
 
mtu anaendakika texk na kuweka xx instead ya herufi husika

nashindwaga kumuelewa kabisaaaaaaa

yani me napataga ile hali kama umekwaruza kisoda sakafuni! sIPENDI!!!!!!!
Yani sijuwi kwanini af najiulizaga why??
Mtu ukishaandika hivyo tayari unaonekana Lowclass teeneger anaeimodify english nae aonekane ana swaga!!according to me.!
 
mtu anaendakika texk na kuweka xx instead ya herufi husika

nashindwaga kumuelewa kabisaaaaaaa

Hizo herufi na style hiyo ya kuandika hata mimi huwa inanichefua sana.
Back kwenye mada, nachukia kupigwa mzinga mimi, ina maana sijui wajibu wangu wa kutunza na kuhudumia mpaka nipigwe mzinga? Mara nyingi wanawake wanaotanguliza kupiga mzinga si potential, wako kwa manufaa fulani fulani tu ...
 
mimi siyo nashindwa kumuelewa tu,huwa nakereka sana aisee ila utagundua ni hivi vitoto vya mulugo sisi wa mungai hatuko hivyo kwakweli tunaandika vizuri kama hivi, kumbuka msisitizo enzi hizo ilikuwa k k k
Kama wewe unajiita wa Mungai basi hauna tofauti na hao wa Mulugo!!!! Mungai ndio chimbuko la kudumaza elimu tanzania ; nadhani alikuwa anafanya hivyo kwa manufaa ya kwao Kenya!!!!
 
Kama wewe unajiita wa Mungai basi hauna tofauti na hao wa Mulugo!!!! Mungai ndio chimbuko la kudumaza elimu tanzania ; nadhani alikuwa anafanya hivyo kwa manufaa ya kwao Kenya!!!!
Hakuna aliyekuwa amefaulu kwenda form 1 hajui kuandika kusoma na kuhesabu,siku hizi wapo wengi tu hata kama alichangia kuyumbisha elimu!
 
Heaven on Earth Utingo na wote mnaopinga vijimeseji vya vijana (xaxa cmu etc) mnanidai vinywaji na heshima kubwa kwenu! kuna wadogo zangu nimewaelimisha hawajaelewa siku hizi wakiandika meseji sijibu wananiona ninadharau! I hate that!

xaxa my bro yu know i love yuu xo xo much plz amexpctng to buy 4 me pizza
yu jioni
ha ha ha
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom