Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 752
true love is a decision not a feeling.
Mmmh! I dought this!
true love is a decision not a feeling.
Wadau nimeshikwa na binti m1 wa kimbulu. Ananitesa kishenzi nampenda cwezi kueleza tatizo ni kwamba hataki kueleza ukweli kama ana mwingine.mara kadhaa amekua akinikatia cmu akidai kwamba kwao wanamkataza kuwa na cmu. Mbaya zaid ninapokua nae hayupo huru kunieleza ukweli kama ana mtu mwingine. Nimejaribu kumshawishi aniambie ukweli kwani ntaumia lakini ntamsahau, Wakati mwingine huwa anazima cmu siku tatu akidai yuko busy sa cjui. Tulishawah kuwa mbali kwa muda kama miezi 6.nimeambiwa alikua na mtu lakini hataki kuniambia ukweli.cjui ni kwanini. Nimekua nikimwuliza kama ananipenda anadai bado ananipenda. naomben ushauri. wadau
<br />Love is patient, love is kind. It does not envy, it does not boast, it is not proud. It is not rude, it is not self-seeking, it is not easily angered, it keeps no record of wrongs. Love does not delight in evil but rejoices with the truth. It always protects, always trusts, always hopes, always perseveres.