Maama mama mama,uwezo wa kukulipa sina,namuomba Mungu akupe baraka,mama,mama yangu eheee!
Asante mkuu utafiti
Mama kwa kweli hakuna mfanowe
Mungu akupe maisha marefu mama yangu na akubariki kila siku
Umefanya mema sana kwa maisha yangu na nakupenda sana mama utafiti asante sana sungura1980 upo mkuu umepotea kama sungura
Nipo mkuu Mr Rocky,,.Kwa sisi wakristo kuhusu wazazi,Mungu ameweka amri pekee yenye ahadi,,"Kwamba waheshimu baba na mama,upate miaka mingi na heri duniani"!
Mr Rocky ni hiyo tu yenye ahadi!Mkuu sungura1980 ni amri pekee yenye ahadi so ukituimiza hilo utapata heri sana duniani mkuu